Thursday, December 31, 2020

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI ATUMA SALAMU YA MWAKA MPYA 2021

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa salamu za mwaka mpya kwa Wananchi wa Zanzibar, amewatakia kheri wananchi wote wa Zanzibar na Tanzania kwa kuukaribisha Mwaka 2021 na kuuaga 2020.[Picha na Ikulu] 31/12 /2020. 

 

BILA MIFUMO THABITI HATUWEZI KUJENGA NA KUIMARISHA USHIRIKA IMARA – KATIBU MKUU KUSAYA


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya akiwahutubuha waalikwa wa hfla ya makabidhiano ya kompyuta zilizotolewa na Benki ya CRDB leo katika katika Ofisi za Tume ya Maendeleo ya Ushirika Jijini Dodoma leo tarehe 31 Desemba, 2020.

Mrajis Mkuu wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Dkt. Benson Ndiege akitoa neon katika hafla hiyo ya makabidhiano ya kompyuta 100 zilizotolewa na Benki ya CRDB kwenda kwa Tume ya Maendeleo ya Ushirika.

Watumishi wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika pamoja na Watumishi wa Benki ya CRDB wakifuatilia hafla hiyo iliyofanyika katika ofisi za Tume Jijini Dodoma.

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB nchini Bwana Prosper Nambaya akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya kompyuta moja ikiwa ni sehemu ya kompyuta 100 zilizotolewa na Benki hiyo kwa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Jijini Dodoma leo.

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya akimkabidhi Mrajis Mkuu wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Dkt. Benson Ndiege kompyuta alipokea kutoka kwa Benki ya CRDB Jijini Dodoma leo.

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya akiwa pamoja na Mrajis Mkuu wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Dkt. Benson Ndiege na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB nchini Bwana Prosper Nambaya pamoja na Watumishi wa Benki ya CRDB pamoja na Watumishi wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika mara baada ya hafla ya makabidhiano ya kompyuta kutoka Benki hiyo.

********************************************

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya amesema majukumu makubwa ya

HAKI MADINI YATOA MAFUNZO KWA WACHEKECHAJI

Meneja miradi wa shirika lisilo la kiserikali la Haki Madini Emmanuel Mbise akizungumza na wachekechaji wanaochekecha ndani ya ukuta unaozunguka madini ya Tanzanite.

Wadau wanaochekecha migodi ya madini ya Tanzanite wakiwa kwenye mafunzo ya usalama kazini yaliyotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Haki Madini.
*********************************************
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Haki Madini la jijini Arusha, limewajengea uwezo wachekechaji

ZAIDI YA VITABU VYA KIADA VYA DARASA LA SABA MILIONI 4.4 KUSAMBAZWA NCHINI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza baada ya uzinduzi wa usambazaji wa vitabu vya kiada vya darasa saba nchini leo Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akipongezana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania TET Dkt. Aneth Komba baada ya uzinduzi wa usambazaji wa vitabu vya kiada vya darasa la saba nchini uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania TET Dkt. Aneth Komba (kulia) wakitazama baadhi ya vitabu vitakavyosambazwa nchini

Washiriki wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa usambazaji wa vitabu vya kiada vya darasa la saba nchini leo Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizindua usambazaji wa vitabu vya kiada vya darasa la saba nchini leo Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akipata picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa elimu nchini katika uzinduzi wa usambazaji wa vitabu vya kiada vya darasa la saba nchini leo Jijini Dar es Salaam.

************************************************

NA EMMANUEL MBATILO

Jumla ya nakala Milioni 4,443,586 za vitabu vya kiada Darasa la saba vimesambazwa nchini

WAZIRI GWAJIMA AIPONGEZA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA KUWA NA HUDUMA ZA UBINGWA WA HALI YA JUU

***********************************************

Na Emmanuel Malegi-DSM

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima ameipongeza Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa kuwa na huduma za ubingwa wa hali ya juu

DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akizungumza na  Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja kutoa ufafanuzi wa changamoto mbali mbali zinazowakabili wanyakazi hao  katika  mkutano Maalum uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 31/12/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed Said alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Mkutano na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii uliofanyika leo.[Picha na Ikulu] 31/12/2020.

Mchangiaji Hafidh Sheha Hassan katika kitengo cha maradhi ya Ngozi na maradhi ya kujamiiana akiwasilisha mchango wake katika Mkutano maalum wa Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii  uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 31/12/2020.

Muuguzi na Mkunga Rukia Balo kutoka Mpendae  akiwasilisha mchango wake katika Mkutano maalum wa Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii  uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 31/12/2020.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (katikati) akifuatilia kwa makini changamoto zilizotolewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkutano maalum na Wafanyakazi hao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi  Dk Khalid Mohamed Suleiman.[Picha na Ikulu] 31/12/2020.

NFRA Wajipange kununua Mahindi mengi kwa Wakulima – RC Wangabo

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (aliyechuchumaa) akiangalia moja ya mfumo wa Kihenge kilichomalizika kujengwa katika ziara yake ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa vihenge hivyo akiwa na timu ya wataalamu wa Mkoa na Wilaya pamoja na NFRA.

Timu ya Wataalamu wa Kilimo kutoka Ofisi ya mkuu wa mkoa wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Rukwa huo Mh. Joachim Wangabo wakiendelea na ukaguzi wa ujenzi wa vihenge vya kisasa katika eneo la Viwanda la Kanondo katika Manispaa ya Sumbawanga. 

**************************************

Wakati Utekelezaji wa lengo la Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) la kuweka mfumo wa kisasa wa kutunza mazao kufikia asilimia 80. Wakala hao wameshauriwa

BASHUNGWA AKUTANA NA WAFANYABIASHA WA KAYANGA NA ATOAA POLE KWA WAHANGA WA MOTO.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa (kulia) akiongea na wafanyabiashara wa mji wa Kayanga wakati akitoa pole kwa wahanga wa ajali ya moto uliotokea Desemba 26, 2020 uliounguza maduka kumi na kusababisha hasara ya Zaidi ya milioni mia moja tisini, katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Agaza, Kayanga, Karagwe. Leo desemba 31, 2020 (Picha zote na Eliud Rwechungura)

Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Godfrey Mheruka (katikati) akitoa mapendekezo yatakayosaidia kukokomesha majanga ya moto wilaya Karagwe katika kikao na wafanyabiashara wa mji wa Kayanga na wahanga wa ajali ya moto kilichofanyika katika ukumbi wa Agaza, Kayanga, Karagwe. Leo desemba 31, 2020 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa (kulia) akikabidhi kiasi cha cha shilingi milioni moja laki mbili kwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Godfrey Mheruka kama mkono wa pole kwa wahanga wa ajali ya moto uliotokea Desemba 26, 2020 uliounguza maduka kumi na kusababisha hasara ya Zaidi ya milioni mia moja tisini, katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Agaza, Kayanga, Karagwe. Leo desemba 31, 2020

******************************************

Na Eliud Rwechungura- Karagwe Kagera

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa amekutana na wafanyabiashara wa mji wa Kayanga na kutoa pole kwa

KUPATIKANA NA DAWA ZA BINADAMU ZILIZOISHA MUDA WAKE.


 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya – Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi ULRICH O. MATEI.

 Mkaguzi wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Kanda ya Nyanda za Juu Kusini – GRACE KAPANDE.

*******************************************

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu 1. MWAPI ERASTO [36] Mkazi wa Iyela 2. DURGA RAJU [29] Mkazi wa Uhindini na 3. FREDY NGUVILLA [56] Mkazi

WANAFUNZI 150 KUEPUKANA NA ADHA YA UPUNGUFU WA VYUMBA VYA KUSOMEA,MBUNGE ASHIRIKI UJENZI

Mbunge wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo,akishiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa baada ya kukabidhi  Mabati,Mifuko ya Saruji na matofali wakati wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Mchangani,iliyopo Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,leo.Wanafunzi wa shule  hiyo wanakabiriwa na upungufu wa madarasa.Picha na Mpigapicha Wetu

Mbunge wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo(aliyeinua mkono), akikabidhi mifuko ya Saruji  ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Mchangani,iliyopo Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,leo.Wanafunzi wa shule  hiyo wanakabiriwa na upungufu wa madarasa.Picha na Mpigapicha Wetu

Mbunge wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo(watatu kulia), akikabidhi mabati  ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Mchangani,iliyopo Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,leo.Wanafunzi wa shule  hiyo wanakabiriwa na upungufu wa madarasa.Picha na Mpigapicha Wetu
Mbunge wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo(aliyeinua mkono), akikabidhi matofali  ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Mchangani,iliyopo Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,leo.Wanafunzi wa shule  hiyo wanakabiriwa na upungufu wa madarasa.Picha na Mpigapicha Wetu

 

Kilimo Cha Parachichi Chawapa Mamilioni Wakulima Njombe


***********************************

NJOMBE

Wakulima wa zao la parachichi ambalo limebatizwa jina la dhahabu ya Kijani na wakazi wa

Waziri wa Nishati aagiza Transfoma mbili kupelekwa mgodini

Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mgodi wa Busolwa,  Bw. Baraka Ezekiel,  alipotembelea mgodi huo uliopo Kijiji cha Buhunda, Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, tarehe 30 Desemba, 2020. Kushoto kwa Waziri ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Stephen Byabato.

Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgodi wa Busolwa , Bw. Baraka Ezekiel, alipotembelea Mradi wa Mgodi wa dhahabu wa Busolwa tarehe 30 Desemba, 2020. Kushoto kwa Waziri  ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato.

*************************************************

 

Na Dorina Makaya,

 

Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amelitaka Shirika la Umeme Tanzania

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILISHA FOMU ZAKE KATIKA MAKAO MAKUU YA SEKRATARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Desemba, 2020 amewasilisha fomu zake za maadili katika ofisi ya makao makuu ya Sekratarieti ya Maadili ya viongozi Jijini Dodoma.

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike amekabidhi fomu hizo kwa Kamishna wa Maadili, Jaji wa

MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA SULUHU AKABIDHI ZAWADI KWA WASIOONA

 Msaidizi wa Makamu wa Rais Maendeleo ya Jamii Bibi Felister Mdemu, kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi zawadi mbalimbali kwa Familia ya Watu 11 wenye ulemavu wa Macho katika Kituo cha Buigiri Jijini Dodoma leo Disemba 31,2020 kwa ajili ya sikukuu ya mwaka mpya, ambapo Makamu wa Rais amewatakia Watanzania wote Kheir na Baraka ya mwaka mpya 2021 na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kutuvusha salama mwaka 2020 na kutufikisha salama mwaka mpya wa 2021 na kuutakia mwaka 2021 uwe wa kheir, Baraka na mafanikio kwenye malengo yetu. pamoja na kuwaomba Watanzania kumuomba Mwenyezi Mungu ili atuepushe na kila janga katika Nchi yetu, nawaomba tuendelee kuchapa kazi. Kheir ya mwaka mpya wa 2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 

REA NA TANESCO WAPEWA MIEZI MITATU KUUNGANISHIA WATEJA UMEME

 Na Mwandishi Wetu,
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na