.

.

Zanzibar Social Security Fund

PSPF

ssra

GEPF

Nssf_New

Mobile Taarifa

LAPF

WCF

..

Tuesday, November 21, 2017

Value of cloves exports down

DAILY NEWS Reporter
ZANZIBAR goods account deficit has widened to 103.4 million US dollars in the year ending September from 70.4 million US dollars of the corresponding period 2016 on account of fall of exports particularly cloves.

Listing fees boost Dar bourse Q3 profit

DAILY NEWS Reporter
DAR ES SALAAM Stock Exchange (DSE), net profit has almost doubled in this year’s quarter three, thanks to listing fees and registry and CSD fees.

Telcom out to make cloud computing reality in Tanzania

DAILY NEWS Reporter
AS businesses move to the cloud, successful management of all aspects of infrastructure technology including service quality, security and availability, become more critical.

T-bills attract bids worth 290bn/-

DAILY NEWS Reporter
SHORT term maturities have continued to be attractive investment avenue for investors sending the government note to an oversubscription.

TANESCO doubles payment to PanAfrica

DAILY NEWS Reporter
TANESCO has almost doubled its outstanding natural gas payment to PanAfrican Energy in the first nine months of this year.

Tanzania: e-payment for cashew nut growers launched

DAILY NEWS Reporter
SOME 40 farmers’ cooperative unions in Lindi and Mtwara have entered into agreement to start receiving their cashew nut payments through TigoPesa payment system.

Foreigners should not get local identity cards

AMBROSE WANTAIGWA in Musoma
MARA Regional Commissioner (RC), Adam Malima has warned all non-citizens residing in the region against involvement in the ongoing issuance of national identity cards and that anybody helping foreigners to get registered will be punished.

Declining Tarime crime rate welcome - Masauni

MUGINI JACOB in Tarime
THE decline of the crime rate in Mara Region’s Tarime District, has delighted the Deputy Minister for Home Affairs, Eng Hamad Masauni.

BAVICHA leader, Msando defect to CCM

SAULI GILIARD
Chama cha Mapinduzi’s National Executive Council (NEC) has approved membership of seven former officials of the opposition, including Chadema’s National Youth Wing (BAVICHA) chairman, Patrobas Katambi and Advocate Albert Msando from ACT-Wazalendo.

Tanzania: PM invites proposals on education policy

ANNE ROBI
Prime Minister Kassim Majaliwa
EDUCATIONAL experts and stakeholders have been urged to air out their views and recommendations to help in reformation of current education policy and entire system.

Expert: Solar better than nuclear option

SYLIVESTER DOMASA
THE East African Community (EAC) partner states have been urged to explore alternative energy generating sources, including solar, rather than opting for nuclear power plants, which may pose a serious threat to the environment and the economy.

Germany to give 95bn/- for EAC schemes

MARC NKWAME in Arusha
OVER 95bn/- will be invested in a project for undertaking vaccination programmes in East Africa as well as supporting students from Kenya, Rwanda, Uganda, Tanzania, Burundi and South-Sudan on various scholarship programmes.

4 arraigned over causing 7bn/- loss to the govt

FAUSTINE KAPAMA
FOUR prominent figures appeared before the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam yesterday charged with six counts of fraudulent trafficking, money laundering and occasioning loss of about 7bn/- to the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA).

Polepole akizungumza na waandishi wa habari baada ya mkutano wa NEC


JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAUNGUA MOTO


_98841548_screenshot2017-11-21at12.42.11.png
Muonekano wa Jengo la Clouds Media Group.
_98841550_screenshot2017-11-21at12.43.08.png
Mojawapo ya wafanyakazi wa Clouds Media Group akijaribu kuokoa baadhi ya vifaa
7964B80D-C1D0-4CAD-BA38-AEAE652A2A08.jpeg
Magari ya Zimamoto yaliyofika kupambana na moto huo.
…………..
SEHEMU  ya jengo la kituo cha Clouds Media Group lililoko Mikocheni jijini Dar es Salaam limeungua moto leo ambapo Mkurugenzi wa Vipindi wa kituo hicho, Ruge Mutahaba, amesema moto huo ulitokea bila ya mtu yeyote kuwa na taarifa nao ambapo ulianzia katika studio ndogo ya kurekodia.
Aliongeza kwamba kituo hicho si mara ya kwanza kupatwa majanga ya moto ambapo mara ya kwanza walipokuwa katika jengo la Kitegauchumi eneo la Posta jijini Dar es Salaam, moto uliteketeza studio zao na kupoteza vitu mbalimbali ambapo moto wa leo umeteketeza baadhi ya ofisi za studio ya Televisheni.
Hata hivyo, alikishukuru kikosi cha Zimamoto kwa kufika haraka eneo la tukio na kuuzima moto huo.  Vilevile alisema hakuna binadamu aliyepata madhara kutokana na tukio hilo.
Mutahaba alisema juhudi zaidi zinaendelea katika kituo hicho ili kurekebisha mambo yaliyotokea na kwamba ratiba zao zitaendelea kama kawaida.

Serikali ya Oman yavutiwa na Mazingira ya Uwekezaji Tanzania

T0
Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Ali A. AL Mahruqi akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Ofisi ya Naibu Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Mhe. Joseph Kakunda (kushoto) leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa Naibu Waziri huyo Bi. Debora Mkemwa.
T1a
Naibu Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Mhe. Joseph Kakunda (katikati) akizungumza jambo alipotembelewa na Balozi wa Oman hapa nchini Mhe. Ali A. AL Mahruqi leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Bibi. Zainabu Chaula.
T1b
Naibu Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Mhe. Joseph Kakunda akizungumza jambo na Balozi wa Oman hapa nchini Mhe. Ali A. AL Mahruqi walipokutana leo Jijini Dar es Salaam.
T2
Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Ali A. AL Mahruqi akizungumza jambo na Naibu Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Mhe. Joseph Kakunda alipomtembelea Ofisi kwake leo Jijini Dar es Salaam.
T3
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Joseph Kakunda (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Bibi. Zainabu Chaula(kushoto) wakimuonyesha Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Ali A. AL Mahruqi kifungu cha Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 kinachozungumzia utoaji  wa huduma za jamii alipotembelea Ofisi za Naibu Waziri wa huyo leo Jijini Dar es Salaam.
T4
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Joseph Kakunda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Ali A. AL Mahruqi (wa pili kutoka kulia) alipotembelea Ofisi za TAMISEMI Jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Katibu wa Naibu Waziri huyo Bi. Debora Mkemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Bibi. Zainabu Chaula pamoja na mmoja wa Afisa kutoka Mambo ya Nje ya Nchi Bw. Odiro.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO
…………………….
Na Eliphace Marwa
MAELEZO
BALOZI wa Oman Ali Al Mahruqi amesema Wafanyabiashara wa nchi hiyo wamevutiwa na na hatua mbalimbali znazochuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kujenga mazingira bora kwa...

TANZANIA YAPIGWA MSASA NA ISRAEL WA KUTANGAZA UTALII KIDIGITALI

1
Dr. Noam Koriat akitoa mafunzo kwa watumishi wa Wizara ya Utalii na Taasisi zake katika ukumbi wa mikutano wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es salaam.
2
Baadhi ya Watumishi wakimsikiliza Dkt. Wakati wa mafunzo.
…………..
Ziara  ya kutembelea nchi ya Israel iliyoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania na kuhususisha viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza kuzaa matunda ambapo mtaalamu wa mfumo wa mawasiliano Kutoka Israel, Dkt Norma Kortiat amewasili nchini kwa ajili ya kutoa mafunzo yanayohusiana na jinsi ya kutangaza utalii wa Tanzania kwa njia ya kidigitali “Digital Marketing”. Mafunzo haya yanategemewa kuwawezesha watumishi  kuongeza ufanisi kwa wa kutumia teknologia mpya katika kuvitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania.
Mafunzo haya ya siku mbili yameanza leo tarehe 21-22 yanafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam ambayo  yanahudhuriwa na watumishi Kutoka Idara ya Utalii , Bodi ya Utalii, Mamlaka ya Wanyama Pori,Mamlaka ya Hifadhi za Taifa, Mamlaka ya Bonde la Ngorongoro, Wakala wa Huduma za Misitu na kamisheni ya Utalii Zanzibar.

MASAUNI ATEMBELEA KITUO CHA MPAKA WA SIRARI AZUNGUMZA NA WANANCHI


PIX 1
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wananchi wanaofanya shughuli zao katika Mpaka wa Tanzania na Kenya   Sirari , wakati wa ziara ya kikazi aliombatana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala(watatu kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo.Lengo la ziara hiyo ni kukagua shughuli mbalimbali zilizopo chini ya idara za wizara na kukagua  mipaka iliyopo katika mkoa huo
PIX 2
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala, akizungumza na wananchi wanaofanya shughuli zao katika Mpaka wa Tanzania na Kenya Sirari, wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri  Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa.
PIX 3
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, akijibu baadhi ya hoja zilizoulizwa na wananchi wanaofanya shughuli zao katika Mpaka wa Tanzania na Kenya Sirari, wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri   Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia), akiambata na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala (kulia)
PIX 4
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala(wapili kulia),Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima() na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorius Luoga(kulia), wakisikiliza maswali ya mmoja wa wananchi wanaofanya shughuli karibu na kituo cha Mpaka wa  Tanzania na Kenya  Sirari , wakati wa ziara ya kikazi yenye lengo la kukagua mipaka iliyopo ndani ya mkoa huo.
PIX 5
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala( kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima(watatu kulia)  wakisikiliza maswali ya mmoja wa wananchi wanaofanya shughuli karibu na kituo cha Mpaka Tanzanua na Kenya  Sirari , wakati wa ziara ya kikazi yenye lengo la kukagua mipaka iliyopo ndani ya mkoa huo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
……………..
Na Abubakari Akida-WMNN
NAIBU Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amewataka wananchi na wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao karibu na Kituo cha Mpaka wa Sirari unaotenganisha nchi za Tanzania na Kenya kuhakikisha wanashirikiana na Jeshi la Polisi mkoani Mara kudhibiti matukio ya uhalifu kwa...

MWENYEKTI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) WA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO


n1
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili kuongoza Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
n2
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akifungua  Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
n4
Waliokuwa wanachama wa vyama vya upinzani wakiwasili ukumbuni kuomba ridhaa ya kurudi CCM wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
n5
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo aliyepata kuwa mwanachama mwandamizi wa chama cha ACT akiomba na kukubaliwa kurudi CCM mbele ya  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
n9
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanachama wa CHADEMA Bw. Lawrence Masha akiomba na kukubaliwa kurudi CCM mbele ya  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
n12
Aliyekuwa mwanachama mwandamizi wa ACT Bi. Edna sunga  akiomba kurudi na kukaribishwa  CCM mbele ya  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
n14
Aliyekuwa  Katibu Mkuu wa Bw. Samson Mwigamba akiomba na kukaribishwa kurudi CCM mbele ya  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
n17
Aliyekuwa  Mshauri wa Chama cha ACT Wakili Albert Msando  akiomba na kukaribishwa kurudi CCM mbele ya  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
n22
Aliyekuwa  Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA)  Bw. Patrobas Katambi  akiomba na kukaribishwa kurudi CCM mbele ya  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
23
Wanachama sita wa vyma vya upinzani wakionekana aada ya kukaribishwa kurudi CCM mbele ya  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
n27
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiendesha Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
n29
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndg. Humphrey Polepole akiwapatia mashati wanachama sita wa vyama vya baada ya kukaribishwa kurudi CCM mbele ya  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
n32
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndg. Humphrey Polepole akipata picha ya kumbukumbu na wanachama sita wa vyama vya baada ya kukaribishwa kurudi CCM mbele ya  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
33
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndg. Humphrey Polepole akiwapatia mashati wanachama sita wa vyama vya baada ya kukaribishwa kurudi CCM mbele ya  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
34
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndg. Humphrey Polepole akiongea na wanachama sita wa vyama vya baada ya kukaribishwa kurudi CCM mbele ya  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017
PICHA NA IKULU

NUKUU YA MAMBO 19 YALIYOZUNGUMZWA KWENYE KIKAO CHA NEC IKULU LEO


index
Mwenyekiti wa baraza la Vijana Chadema (BAVICHA),Patrobas Katambi amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katambi ametangaza kujiondoa Chadema leo Jumanne Novemba 21,2017 katika mkutano wa halmashauri kuu ya CCM unaoendeshwa na mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli jijini Dar es salaam.
Mbali na Katambi makada wengine wa CHADEMA wameamua kurudi CCM.
index
Wajkili Albert Msando akipongezwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati alipotangaza kurejea CCM kwenye mkutano wa NEC unaofanyika Ikulu leo chini ya Uenyekiti Rais JPM.
…………………………………………………………………………………….
1. “Waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali ni 3004 na nafasi za wanaohitajika ni nafasi 201” – JPM
2. “Tulifanya magaeuzi makubwa ili kukirejesha chama kwa Wanachama na kurejesha imani ya CCM kwa Watu” – JPM
3. “Mageuzi haya yamekuwa miiba mikali kwa waliozoea kukichezea chama chetu” – JPM
4. “Kila siku Watu wanarejea CCM, ni ishara ya kupendwa vilivyo kwa CCM” – JPM
5. “CCM inahitaji viongozi wanaochukizwa na rushwa, uonevu, ubadhilifu. Wanaopenda kutimiza ahadi za TANU” – JPM
6. “Wajumbe msije na majina yenu mifukoni, mnaweza kurudi nayo yakiwa huko huko mifukoni” – JPM
7.  “Nina imani na uchambuzi uliofanywa na Sekretariet. Kwa wale ambao hawataridhishwa na mgombea yeyote, nimekuja na mafaili ya wagombea wote nitamwonyesha” – JPM
8. “Hapa ni kwenu, bila ya nyinyi (Wajumbe) nisingefika hapa.  Mna kila sababu ya kufanya kikao hapa” – JPM
9. “Katika siku za hivi karibuni tumeona mapinduzi ya kiutawala, kiitikadi, kiuchumi” – Dk. Mkumbo
10. “CCM ndio chama pekee kinachoonekana kina nguvu hapa nchini” – Dk. Mkumbo
11. “Nimekubali kurudi kwa dhati, ninaomba ridhaa nirudi mnipokee” – Lawrence Masha
12. “Nimerudi zizini nikiwa na mkia, nipo tayari kutumika” – Lawrence Masha
13. “Yale tuyotarajia Wapinzani tuyaone yakifanyika, yanafanyika katika utawala wako Rais Magufuli, tuna kila sababu ya kukuunga mkono” – Samson Mwigamba
14. “Kadri wanavyopiga kelele, ndivyo wewe unazidi kupanda mlima” – Samson Mwigamba
15. “CCM ni chama kinachoonyesha kuwajali watu, mimi kama kijana ninajivunia kuwa Mwanachama wa CCM” – Alberto Msando
 16. “CCM kilihaidi kupambana na umaskini, kutengeneza ajira, kurudisha nidhamu na uwajibikaji. Tuna kila sababu ya kupongeza kwa haya mambo mazuri” – Alberto Msando
17. “Leo hii nasaliti ubinafsi, umimi kwa kuamua kujiunga na CCM” – Patrobasi Katambi
18. “Upinzani wa leo unajadili mambo binafsi na matukio kuliko kujadili namna ya kulisaidia Taifa” – Patrobas Katambi
19. “Kijana ndani ya upinzani ni karai linalojenga ghorofa. Karai huonekana takataka baada ya ghorofa kukamilika” – Patrobasi Katambi

Yellen announces resignation from the Fed

MBUNGE MGAYA AWASAIDIA WANAWAKE VYEREHANI 370 NJOMBE

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe NEEMA MGAYA (Katikati Mstari wa Mbele) akiwa na baadhi ya wanawake aliowakabidhi vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Shilingi Milioni 90 Halmashauri ya Makambako Mkoani Njombe ili wajikwamue kiuchumi.
Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Njombe NEEMA MGAYA (Mbele) akiwa na baadhi ya wanawake aliowakabidhi vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Shilingi Milioni 90 Halmashauri ya Makambako Mkoani Njombe ili wajikwamue kiuchumi.
Baadhi ya vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Shilingi Milioni 90 vilivyolewa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe NEEMA MGAYA vikiwa tayari kukabidhiwa kwa baadhi ya wanawake wa Mkoa wa Njombe ili wajikwamue kiuchumi.

Na Mwandishi Wetu, Makambako Njombe

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe NEEMA MGAYA ametoa msaada wa vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya...