Saturday, February 29, 2020

Wahasibu, Wakaguzi wa TAA tumieni vyema mafunzo ya IPSAS – Kaimu Mkurugenzi MkuuKaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Mbila Mdemu leo akizungumza na Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani waliokuwa wakishiriki mafunzo ya uandaaji na
uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za fedha kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Taasisi za serikali (IPSAS accrual), wakati akiyafunga kwenye Jengo la Pili la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNIA-TB3).
Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Biashara wa Malaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), CPA Josephine Kolola (mbele) akitoa neno la shukrani mara baada ya kufungwa kwa mafunzo ya uandaaji na uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za fedha kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Taasisi za serikali (IPSAS accrual), yaliyokuwa yakifanyika kwenye Jengo la Pili la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA_TB2).
Mkufunzi CPA Angelile Tende kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania (NBAA), akiwafundisha Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wakimsikiliza Mkufunzi CPA Mohamed Nusura (hayupo pichani) mafunzo yaliyomalizika leo ya uandaaji na uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za fedha kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Taasisi za serikali (IPSAS accrual), kwenye Jengo la Pili la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius
Nyerere (JNIA_TB2).
Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wakimsikiliza Mkufunzi CPA Angelile Tende (hayupo pichani) katika mafunzo ya uandaaji na uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu
za fedha kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Taasisi za serikali (IPSAS accrual). Mafunzo hayo yamemalizika leo kwenye Jengo la Pili la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNIA_TB2).
*****************************
Na Bahati Mollel, TAA
WAHASIBU na Wakaguzi wa Ndani wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wametakiwa kutumia vyema mafunzo ya uandaaji na uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za

TANZANIA YAISHUKURU JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KWA USHIRIKIANO WALIOTOA KUMUUNGA MKONO MKURUGENZI MKUU WA TMA KATIKA KINYANG’ANYIRO CHA NAFASI YA MAKAMU WA TATU WA RAIS WA (WMO)Kigali, Rwanda; Tarehe 08 Februari, 2020;
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ambaye pia ni Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), Dkt. Agnes Lawrence Kijazi amewashukuru wakuu wa Taasisi za Hali ya Hewa katika Jumuia ya Afrika Mashariki kwa

Gavana Profesa Luoga.”Mfumuko wa bei umeendelea kuwa tulivu”


Asilimia 95 Misenyi ni Wahamiaji Haramu,Serikali ya Tanzania yatoa tamkoNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimuhoji mmoja wa wahamiaji haramu waliokamatwa wilayani Misenyi, mkoani Kagera wakiingia nchini kinyume na utaratibu ambapo ameitaka Idara ya Uhamiaji na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), kuongeza nguvu kazi katika wilaya hiyo ili kuweza kutambua raia wenye uhalali wa kuishi nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkuu wa Uhamiaji Wilaya ya Misenyi,Inspekta Ferouz Lwambano, akimuonyesha  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,mmoja wa wahamiaji haramu aliyekamatwa tena baada ya kutoka kifungoni kwa msamaha wa Rais Dkt, John Pombe Magufuli aliposamehe wafungwa wakati wa sherehe za uhuru.Wahamiaji haramu hao wako ofisi za Uhamiaji Misenyi wakisuburi taratibu za kisheria ili waweze kupelekwa mahakamani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Baadhi wa Wahamiaji Haramu waliokamatwa wilayani Misenyi, wakimuangalia Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni. Wahamiaji haramu hao wako ofisi za Uhamiaji Misenyi wakisuburi taratibu za kisheria ili waweze kupelekwa mahakamani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkuu wa Uhamiaji Wilaya ya Misenyi, Inspekta Ferouz Lwambano, akimfafanulia jambo   Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni baada ya kuwaona  Wahamiaji haramu waliohifadhiwa Ofisi  za Uhamiaji Misenyi wakisuburi taratibu za kisheria ili waweze kupelekwa mahakamani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
*****************************
Na Mwandishi Wetu,Misenyi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni ameitaka idara ya

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AHAKIKI TAARIFA ZAKE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA ZANZIBAR KITUO CHA SKULI YA MSINGI BUNGU WILAYA YA KATI UNGUJA LEO.29-2-2020.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihakiki Taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar, na Afisa wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg. Salum Abdulrahaman Nadhif, alipofika Kituo Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja leo 29-2-2020, (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein..(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akihakiki Taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura  Zanzibar, alipofika kuhakiki taarifa zake katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja leo, akifanyika uhakiki na Afisa wa (ZEC) Bi. Mwashamba Rashid Abuu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitoka katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja baada ya kuhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Kituo cha Kujiandikisha Wupiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja kwa  kuhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar, (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud. Hafla hiyo imefanyika leo 29-2-2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika foleni akisubiri zamu yake katika zoezi la Uhakiki wa taariza zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar, katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja leo, 29-2-2020,  (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe Jaji.Hamid Mahmoud na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg Thabit Idarous Faina.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, baada ya kuhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar, katika Kituo cha kujiandisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja  leo,29-2-2020, (kulia kwa Rais ) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC) Mhe. Jaji. Hamid Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja. Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika Kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja , akisuburi Kitambulisho chake cha mpiga kura baada ya kuhakikiwa na Mkuu wa Kituo cha Kijiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja.Bi.Salma Abdulla Mussa.(Picha na Ikulu).29-2-2020.

SERIKALI KUWEKA MPANGO KWA KILA KAYA KUPANDA ANGALAU MTI MMOJA NA KUHAMASISHA UTUMIAJI WA NISHATI MBADALA KULINDA MAZINGIRAWaziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Mussa Zungu akipanda mti katika Uzinduzi wa Kampeni ya Upandaji miti iliyofanyika katika Shule ya Sekondari Shabani Robert Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Mussa Zungu (kushoto mwenye kofia) akipata maelekezo na Mwanzilishi wa Mradi wa KopaGas katika Kampeni ya Upandaji Miti iliyofanyika katika Shule ya Sekondari Shabani Robert Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Mussa Zungu akizungumza na Wadau Mbalimbali katika Kampeni ya Upandaji Miti iliyofanyika Katika Shule ya Sekondari Shabani Robert Jijini Dar es Salaam.
***************************
NA EMMANUEL MBATILO
Serikali itaweka mpango kwa kila kaya kuhakikisha inapanda mti hata mmoja na kuhamasika

WAZIRI UMMY MWALIMU ATOA TAARIFA JUU YA MWENENDO WA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU (COVID-19)Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akitoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vipya jamii ya Corona wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa NIMR jijini Dar es salaam leo Kushoto ni Dk. Zainab Chaula Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo wakati alipotoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vipya jamii ya Corona  kushoto ni Dk. Zainab Chaula Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watotona kulia ni Mganga Mkuu wa Wizara hiyo Dk. Mohamed Bakari.
…………………………………………
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu leo ametoa  taarifa ya mwenendo juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na virusi vipya jamii ya Corona (COVID – 19) ikiwa ni muendelezo wa

WAKANDARASI WANAOSHINDWA KUTEKELEZA MIRADI YA REA KWA WAKATI KUKATWA FEDHA


KAIMU Mkurugenzi wa Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Amosi Maganga kushoto akizungumza wakati wa ziara  kufanya tathimini kuona wakandarasi wamefikia hatua gani mpaka sasa
wametembelea kwenye kazi walianzia Mkoani Manyara kijiji cha Terati na
wapo mkoa wa Tanga katika wilaya ya Mkinga kulia ni
Mwenyekiti wa Bodi ya REA Tanzania Julius Kalolo .

Mbunge wa Jimbo la Mkinga (CCM) Dastani
Kitandula ambaye pia ni 
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya
Madini na Nishati katikati akisisitiza jambo kwa
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
Mhandisi Amosi Maganga
kulia na katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya REA Tanzania Julius Kalolo
wakati wa ziara yao ya kufanya tathimini kuona wakandarasi
wamefikia hatua gani mpaka sasa kwenye mradi huo wilayani Mkinga
Mbunge wa Jimbo la Mkinga (CCM) Dastani
Kitandula ambaye pia ni 
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya
Madini na Nishati katikati akisisitiza jambo kwa
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
Mhandisi Amosi Maganga
kushoto na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya REA Tanzania Julius Kalolo
wakati wa ziara yao ya kufanya tathimini kuona wakandarasi
wamefikia hatua gani mpaka sasa kwenye mradi huo wilayani Mkinga
Mbunge wa Jimbo la Mkinga (CCM) Dastani
Kitandula ambaye pia ni 
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya
Madini na Nishati  kushoto akisisitiza jambo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
Mhandisi Amosi Maganga kushoto wakati wa ziara yao ya kufanya tathimini kuona wakandarasi wamefikia hatua gani mpaka sasa kwenye mradi huo wilayani Mkinga kulia ni 
Mwenyekiti wa Bodi ya REA Tanzania Julius Kalolo


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Amosi Maganga kulia akisisitiza jambo wakati wa ziara hiyo
KAIMU Mkurugenzi wa Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Amosi Maganga amewaonya wakandarasi wanaozembea katika utekelezaji wa miradi hiyo nchini kwa kutokukamilisha ndani ya muda uliopangwa la sivyo watachukuliwa hatua za kimkataba ikiwemo kuvunjiwa mikataba na kukatwa fedha.

Mhandisi Maganga aliyasema hayo wakati wa ziara yake wilayani Mkinga alipotembelea vijiji vya Mbuyuni, Segoma, Sega na Mnyenzani ambapo pia walipata nafasi ya kuzungumza na wananchi wakiwa

KAMPUNI YA KUUNDA MABASI YA ABIRIA YAANZISHWA KIBAHAMuonekano wa moja ya mabasi yaliyoundwa na Kampuni ya BM Motors iliyopo Kibaha mkoani Pwani kama linavyoonekana likiwa tayari kuanza kutumika .
………………………………………………………………………………………………………….
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya BM Motors iliyopo Kibaha mkoani Pwani, imeingia kwenye orodha ya

NDITIYE AHITIMISHA KAMPENI YA “SWITCH-ON, MAWASILIANO KWA WOTE” KANDA YA KASKAZININaibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Nchini, Mh. Atashasta Nditiye (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mnara wa Mawasiliano wa TTCL katika kampeni ya  “SWITCH-ON, Mawasiliano kwa wote” katika kijiji cha Irkuishbo wiliyani Kiteto mkoani Manyara.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Nchini, Mh. Atashasta Nditiye (wa pili kushoto) akishangilia pamoja na wananchi wa kijiji cha Irkuishbor, Kiteto Mkoani Manyara mara baada ya kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mnara wa Mawasiliano wa TTCL.
…………………………………………………………………………………………..
Na Mwandishi wetu,
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Nchini, Mh. Atashasta Nditiye Ijumaa ya

Friday, February 28, 2020

As NSE Promotes Financial Literacy through StockTown Comic Book

Nigeria’s financial ecosystem is rapidly evolving with the introduction of ...

Kenya: 13 Beggars From Tanzania Charged for Illegal Stay


Thirteen foreigners were on Wednesday charged in a Nyeri court for being in the country illegally.
The suspects, who are beggars, were...

Martha Karua: Government's advisory for Chinese nationals to self-quarantine is laughable


Treasury loans Sh5 billion to Kenya Airways for engines repair

Kenya Airways Kenya Airways planes at the JKIA in Nairobi. FILE PHOTO | NMG 
JOHN MUTUA

Summary

    • The funding, a commercial loan that will also finance day-to-day operations for the loss-making airline, underlines its overreliance on Treasury-backed loans and financing.

Spare no effort in locking out Corona, its costs are too high

Irungu Houghton \
Muslims wear protective face masks following the coronavirus outbreak, as they pray on a street during Friday prayers in local souq, in Manama, Bahrain, February 28, 2020. [Reuters]
The CoronaVirus just escalated from epidemic to an info-demic. Public anxiety is justifiably at an all-

KenGen profit nearly doubles to Sh8.2b

kengen-profit-nearly-doubles-to-sh8-2b

KenGen has nearly doubled its net profit for the six months period ending December 31, 2019, boosted by a tax rebate from construction of a new power plant.

 The power producer saw its net profit increase by 98 per cent, hitting Sh8.17 billion from

President disbands disaster team as fear mounts over Corona

Daniel Wesangula  A furious President Uhuru Kenyatta (pictured) yesterday disbanded an inter-ministerial committee over its repeated failures to adequately protect the country from the Corona virus.

The President acted just hours after the media and the public piled pressure over the casual manner in

Pricey tomatoes push up the cost of living in February

Dominic Omondi
The high cost of tomatoes contributed to a spike in the cost of living in February with overall prices of goods and services in the economy increasing by 6.37 per cent. This was a nine-month with the

Omtatah seeks to stop Kenya Airways from sending trainees overseas

Faith Karanja Human rights activist Okiya Omtatah has moved to court seeking to stop Kenya Airways from sending pilot trainees outside the country. Omtatah wants the airline stopped from sending candidates to South Africa as per its advert that closed on December 11,2019, inviting applicants under its Ab

Chinese firm says grooming Kenyans to take over SGR

chinese-firm-says-grooming-kenyans-to-take-over-sgrMoses Omusolo  The Chinese government will hand over operations of the Standard Gauge Railway to Kenyans in six years. 

 Africa Star Railway Operation Company (Afristar) is contracted to run and maintain the 592km Standard Gauge Railway (SGR) for 10 years after which management will revert to Kenyans.

Kenya Airways back at Treasury for Sh5b bailout

Wainaina Wambu  Kenya Airways has gone back to the government for a bailout. The airline said it has secured a Sh5 billion commercial loan from the National Treasury to service some of its aircraft engines and streamline operations.

At the same time, the listed loss-making national carrier announced looming changes in its operations

Top researchers caught in toxic scandals over money and sex

Amos Kareith The Regional Centre for Mapping of Resource For Development along Kasarani Road. [Jenipher Wachie, Standard]

 A half a billion-shilling complex, claims of sexual harassment and corruption allegations are at the

Somalia warns Kenya of UN action for its 'destabilising' roleSomalia and Kenya presidents
Presidents Mohamed Abdullahi Mohamed Farmaajo of Somalia and Kenya's Uhuru Kenyatta at the national prayer breakfast held at Safari Park Hotel in Nairobi on May 31, 2018. PHOTO | JEFF ANGOTE | NATION MEDIA GROUP 

South Korea reports 594 more coronavirus cases, total 2,931

South Korea coronavirus
A South Korean medical worker wearing protective gear speaks over a phone as he visits a residence of people with suspected symptoms of the Covid-19 coronavirus to take samples, near the Daegu branch of the Shincheonji Church of Jesus in Daegu on February 27, 2020. PHOTO | JUNG YEON-JE | AFP 

State gives KQ Sh5bn loan to keep it aloft, service planes

KQ flight
Kenya Airways said the new loan demonstrates the government’s commitment in ensuring it remains aloft. FILE PHOTO | NATION MEDIA GROUP 

I fear for my life, says suspended KQ whistle-blower

Gire Ali
Suspended Kenya Airways (KQ) employee Gire Ali during the interview on February 28, 2020. PHOTO | JEFF ANGOTE | NATION MEDIA GROUP