Mfuko
wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema hakuna mabadiliko ya michango
kwa watumishi kama ambavyo taarifa zinazosambazwa mitandao zinadai kuwa
kuna ongezeko la uchangiaji kutoka TZS 18,000 hadi TZS 40,000.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Khamis Kigwangala akiwa na baadhi ya
wasanii wa muziki na filamu katika hifadhi ya Burigi Chato
WIZARA ya Maliasili na Utalii ipo katika
mchakato wa kupandikiza Wanyama zaidi wa aina mbalimbali katika hifadhi
mpya ya Taifa ya Burigi Chato wakiwemo Faru weupe ili
The LandWey has launched a prop-tech lab for real estate stakeholders.
The lab was expected to provide vibrant,
innovative tools and technical know-how that would prove to be
indispensable for every real estate player in the 21st century.
Commenting on the initiative, a
statement quoted LandWey’s Prop-Tech lab, Olawale Ayilara, who is
By Nkechi Onyedika-Ugoeze and Sodiq Omolaoye, Abuja
Managing Director of Huawei Technologies Nigeria, Mr. Zhang Lulu, has
said that with the new 5G network, telecommunications subscribers in
the country can experience the fastest internet and
Nigeria’s tech start-up industry is booming. The country was named the African nation with the most investment, with 40 businesses generating $59,971,000 USD by the end of 2018.
The fact that
(FILES)
In this file photo taken on May 29, 2019, a company logo is displayed
at a reception area at the Huawei headquarters in Shenzhen, China’s
Guangdong province. –
By AFP
US officials said on November 20, 2019, they have
agreed to grant licenses to “several” firms to
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekua Mfanyabiashara na Mwanazuoni
maarufu, Alhajj Aziz Masanga (Zingizi), wakati alipoongoza mamia ya
wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, kwenye mazishi hayo, yaliyofanyika
katika makaburi ya Msasani jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipeana mkono na Mjomba wa Marehemu, Alhajj Aziz Masanga (Zingizi)
aliyekua Mfanyabiashara na Mwanazuoni Maarufu, wakati akiwasili kwenye
makaburi ya Msasani jijini Dar es Salaam, kuongoza mamia ya wakazi wa
Jiji la Dar es Salaam, katika mazishi ya Mfanyabiashara na Mwanazuoni
huyo, Novemba 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekua Mfanyabiashara na Mwanazuoni
maarufu, Alhajj Aziz Masanga (Zingizi), wakati alipoongoza mamia ya
wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, kwenye mazishi hayo, yaliyofanyika
katika makaburi ya Msasani jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Hussein Mwinyi, akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekua
Mfanyabiashara na Mwanazuoni maarufu, Alhajj Aziz Masanga (Zingizi),
wakati alipoongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, kwenye
mazishi hayo, yaliyofanyika katika makaburi ya Msasani jijini Dar es
Salaam, Novemba 29, 2019. Kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah
Ulega. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akiongea na wananchi baada ya mazishi ya aliyekua Mfanyabiashara na
Mwanazuoni maarufu, Alhajj Aziz Masanga (Zingizi), kwenye makaburi ya
Msasani jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
***********************************
WAZIRI MKUU
Kassim Majaliwa ameongoza wakazi wa jiji la Dar es Salaam na maeneo
mengine kwenye mazishi ya Mfanyabiashara na Mwanazuoni Maarufu wa dini
ya Kiislam, Alhaj Aziz Massanga (Zingizi), yaliyofanyika katika makaburi
ya Msasani.
Alhaj Zingizi
amefariki dunia Jumatano, Novemba 27 jijini Johanesburg nchini Afrika
Kusini alikikwenda kwa ajili ya
Msanii wa kizazi kipya hapa nchini
AliKiba amepongezwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri kwa
mchango wake wa vifaa tiba vya zaidi ya shilingi Milioni 6 kwa wananchi
wa mkoa huo.
AliKiba alikabidhi vifaa hivyo kwa
Aggrey Mwanri ikiwa ni sehemu ya kurejesha shukrani zake kwa wananchi
wa Tabora katika tamasha lake ‘AliKiba Uforgetable Tour’ litakalofanyika
Novemba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea Makaburini kwaajii ya kutoa heshima zake mwisho kwenye kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitazama Makaburi ya Familia ya Mzee Sugwa mara baada kutoa heshima za mwisho kwenye kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia waombolezaji nyumbani kwa Mzee Sugwa kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita aliyefiwa na Mwanae
Shija Sugwa,pia alimtembelea na kutoa pole kwa kufiwa na Mkewe Marehemu
Bi. Sabina Ndege Kilanda aliyefariki dunia Septemba 15, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bi. Beatrice Masanilo aliyefiwa na mumewe walipokutana nyumbani kwa Mzee Sugwa kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita, alipomtembelea na kutoa pole kwa kufiwa na Mkewe Marehemu Bi. Sabina Ndege Kilanda aliyefariki dunia Septemba 15, 2019 na mwanae Shija Sugwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za mwisho katika kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.
Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Dkt. Richard Faustine Sambaiga (Mwenye
koti) akizungumza na wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali wakati Bodi
hiyo ilipokuwa inatembelea Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani
Mwanza kufuatilia mwenendo wa utekelezaji wa miradi katika Mashirika
hayo.
Msajili wa Mashirika Yasiyo ya
Kiserikali Bi. Vickness Mayao akifafanua jambo kwa wadau wa Mashirika
Yasiyo ya Kiserikali wakati Bodi hiyo ilipokuwa inatembelea Mashirika
yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa utekelezaji
wa miradi katika Mashirika hayo.
Mjumbe wa Bodi ya Uratibu wa
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Dkt. Zena Mabeyo akifafanua jambo wadau
wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali wakati Bodi hiyo ilipokuwa inatembelea
Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa
utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.
Mwakilishi wa Shirika la The Kesho
Fund Bw. Petro Okoth akifafanua jambo katika kikao kati ya wadau wa
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali wakati Bodi hiyo ilipokuwa inatembelea
Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa
utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.
Mwakilishi wa Shirika la
Foundation for Farmer’s Service Bi. Lydia Kamugisha akifafanua jambo
katika kikao kati ya wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali wakati Bodi
hiyo ilipokuwa inatembelea Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani
Mwanza kufuatilia mwenendo wa utekelezaji wa miradi katika Mashirika
hayo.
Baadhi ya wadau wa Mashirika
Yasiyo ya Kiserikali mkoani Mwanza wakisikiliza maelezo kutoka kwa Bodi
ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ilipotembelea Mashirika
yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa utekelezaji
wa miradi katika Mashirika hayo.
Mwenyekiti wa
Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Dkt. Richard Faustine
Sambaiga (Mwenye koti) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali mkoani Mwanza mara baada ya kikao kati ya
Bodi hiyo na wadau hao.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW
********************************
Na Mwandishi Wetu Mwanza
Bodi ya Uratibu
wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini imeyatahadharisha Mashirika
Yasiyo ya Kiserikali kutojihususha na masuala ya kisiasa bali wasimamie
Katiba zao katika
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza na waandishi wa habari tarehe 30 Novemba 2019 kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Kilimo Jijini Dar es salaam.
Na Mathias
Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet
Hasunga (Mb) amesisitiza marufuku yake aliyoitoa hivi karibuni
Tanzania has three safari circuits and each one
of them would make Tanzania a top wildlife destination. The popular
Northern circuit with the Serengeti and Ngorongoro crater offers one of
the best classical safaris in Africa, especially if timed with the
annual wildebeest migration.
By Alawi Masare @AMasare malawi@tz.nationmedia.com
It was a sweet resolution expected of any meeting of advocates of regional business integration.By Zephania Ubwani @The CitizenTz news@tz.nationmedia.com
The African Court for Human and Peoples’ Rights (AfCHPR) yesterday made
the consequential order that Tanzania takes steps to expunge from its
Penal Code the mandatory imposition of the death
In Summary
This comes as the African Court for Human and
People’s Rights says Tanzania must remove the death penalty from it’s
Penal Code within one year of the notification of the judgment.
By Alex Malanga @ChiefMalanga news@thecitizen.co.tz
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI BENKI KUU YAKANA KUJIHUSISHA NA FEDHA ZA KIMTANDAO
Benki Kuu ya Tanzania imeonya kuacha mara moja kuihusisha na shughuli za fedha za kimtandao (cyptocurrencies) kunakofanya na baadhi ya watu wanaojihusisha na biashara hiyo haramu. Watu hao, ambao wanaleta usumbufu hapa
Msajili wa Mashirika Yasiyo ya
Kiserikali Bi. Vickness Mayao akifafanua jambo kwa vijana wa kikundi cha
Shilabela wanaonufaika na mradi wa Vijana Maisha ni Kazi unaotekelezwa
na Shirika la Plan International Buhongwa jijini Mwanza wakati Bodi ya
Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ilipokuwa inatembelea
Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa
utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.
Mwezeshaji kutoka Shirika la Amani
Girls Home Bw. Mang’olo Shoma Bahati akieleze jinsi Mradi wa Vijana
Maisha ni Kazi unaotekelezwa na Shirika la Plan International
ulivyowasaidia vijana wa Kikundi cha Shilabela cha Buhongwa wakati Bodi
ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ilipokuwa inatembelea
Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa
utekelezaji wa miradi katika Mashirika.
Afisa Miradi kutoka Shirika la
Plan International Bw. Nicodemas Gachu akielezea kuhusu utekelezaji wa
Miradi inayotekelezwa na Shirika hilo wakati Bodi ya Uratibu wa
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ilipotembelea Miradi inayotekelezwa na
Shirika hilo mkoani Mwanza katika ufuatiliaji wa mwenendo wa utekelezaji
wa miradi katika Mashirika hayo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Dkt. Richard Faustine Sambaiga (Mwenye
koti) akikabidhi mchango wa jamii kwa mmoja wa mjumbe wa kikundi cha
Shilabela kilichopo Buhongwa jijini Mwanza wakati Bodi hiyo ilipokuwa
inatembelea Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia
mwenendo wa utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim
Wangabo (wa mbele) akitoka kuangalia daraja la mto Kanteza
linalowaunganisha wananchi na kituo cha afya cha Laela, Wilayani
Sumbawanga, daraja ambalo limetengewa shilingi milioni 163.2 katika
mwaka wa fedha 2019/2020 huku kazi zikiwa zinaendelea.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim
Wangabo (wa mbele) akitoka kuangalia daraja la mto Kanteza
linalowaunganisha wananchi na kituo cha afya cha Laela, Wilayani
Sumbawanga, daraja ambalo limetengewa shilingi milioni 163.2 katika
mwaka wa fedha 2019/2020 huku kazi zikiwa zinaendelea.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim
Wangabo (kulia) akizungumza na baadhi ya wananchi wa mji mdogo wa Laela
juu ya adha wanayoipata kabla ya dalaja la mto Kanteza kuanza
kutengenezwa na kutaka kujua maoni yao juu ya ujenzi huo muda mfupi
baada ya kukagua daraja hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim
Wangabo akimkabidhi zawadi ya pesa mmoja wa mtoto wa wananchi aliokuwa
akizungumza nao kupata maoni juu ya ujenzi wa daraja la mto Kanteza
katika mji mdogo wa Laela.
********************************
Wakala wa
Barabara za mijini na Vijijini (TARURA) wametakiwa kuhakikisha Barabara
zote za Vijijini zinapitika mwaka Mzima kwa kufanyiwa matengenezo na
endapo
Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amezindua chumba cha
kuhifadhia majokofu yanayotumia umeme wa jua kwenye zahanati ya
One of the 12 vessels donated by the EU and delivered by FAO to the
fishing cooperatives in Somalia’s Puntland State on November 28,
2019.PHOTO | FAO
In Summary
John Purvis, FAO’s CCAP Project Manager in Somalia on
Thursday said that the diesel-powered boats will help local communities
tap its fishing potential in the coastal water
Kenya's Cabinet Secretary for Information and Communication Technology
Joe Mucheru (centre) poses for a photo with Posta Kenya and Safaricom
executives during the launch of MPost in Nairobi on November 29, 2019.
PHOTO | POSTA KENYA
In Summary
Under the agreement, Safaricom customers can register for a
mailbox linked to their mobile number where they will receive text
message alerts whenever they have a package to be collected.