Thursday, June 30, 2022

Pension scheme plans sale of county assets to recover debt

pension

Local Authorities Pension Trust Defined Benefits Scheme meeting. FILE PHOTO | NMG

By ELIZABETH KIVUVA More by this Author

County pension fund administrator, CPF Financial Services, is considering selling assets of some devolved units among them Nairobi County to recover a huge debt in form of unremitted members’ contributions.

Inflation hits 58-month record

shop

Customers shopping at a local supermarket. FILE PHOTO | NMG

Kenya’s inflation hit a 58-month high in June on soaring food prices, breaching the

China’s Africa debt deals guided by transparency

afr

By Zhou Pingjian More by this Author

Kenya’s largest creditor? Not China. Kenya owes less than 10 percent of its public debt, or, less than 20 percent of its foreign debt, to Chinese creditors. Labelling China as the main creditor of Kenya is clearly an overstatement.

Community engagement as part of sustainability

sustain 

As we draw closer to the United Nations Climate change Summit (COP27), which will be held in Egypt in a few months’ time, the message from COP26 is still loud and clear to the

When it comes to increasing your company’s visibility, nothing beats a good story

Office

The craft of storytelling has been practised for many years and continues to develop with each passing year. In today's world, in order for any organisation to effectively convey its influence to the people they serve, they need to master the art of creating compelling stories.

MTN appoints Safaricom's Sylvia Mulinge as Uganda CEO

mulinge

Safaricom Chief Customer Business Officer Sylvia Mulinge. PHOTO | NMG

MTN Uganda has appointed Sylvia Mulinge –currently the head of consumer business at Safaricom— as its new chief executive starting September 1.

NSE firms face costly dollar loans as shilling weakens

DollarShilling

Listed firms are facing higher finance costs as a result of the weakening of the shilling against the dollar. FILE PHOTO | NMG

By CHARLES MWANIKI More by this Author

Listed firms are facing higher finance costs as a result of the weakening of the shilling against the dollar, exposing the risk carried by foreign currency loans to local firms.

Why is medics fund idle 30 years on?

medics

I had hoped that Health cabinet Secretary Mutahi Kagwe would revive the Kenya Hospital Authority Trust Fund before the end of the tenure of President Uhuru Kenyatta’s

Telkom and LipaLater ink deal for smartphone financing plan

 


Why investors are fleeing from many NSE counters

waweru

Gregory Waweru, Chief Executive Officer at SBG Securities Kenya at the firm's offices on June 22, 2022. PHOTO | DIANA NGILA | NMG

By CHARLES MWANIKI More by this Author

This year, the Nairobi Securities Exchange (NSE) has taken a hit as foreign capital flows back to the safety of western markets, spooked by the Russia-Ukraine conflict and rising prices that have forced major economies to raise interest rates.

NHIF doubles surgical procedures, raises hospital refunds 12pc

nhif

The National Hospital Insurance Fund (NHIF) in this picture taken on Tuesday, October 26, 2021. PHOTO | DENNIS ONSONGO | NMG

By JOHN MUTUA More by this Author

The National Hospital Insurance Fund (NHIF) has doubled the number of surgical procedures under its patient's cover, expanded oncology benefits for cancer patients and increased the reimbursement rates for contracted health facilities by 12 percent.

Ruto, Odinga and Musyoka to draw benefits through State House

political

DP William Ruto with former PM Raila Odinga and former vice-president Kalonzo Musyoka at a past event. FILE PHOTO | NMG

By EDWIN MUTAI More by this Author

State House will now administer retirement benefits of Deputy President William Ruto, former Prime Minister Raila Odinga and Vice President Kalonzo Musyoka, taking over the role from the Treasury.

Where investors made money in 2022 first half

CURRENCY

Government securities and fixed deposits in banks offered Kenyan investors the highest returns in the first half of the year. FILE PHOTO | NMG

By CHARLES MWANIKI More by this Author

Government securities and fixed deposits in banks offered Kenyan investors the highest returns in the first half of the year as listed shares took a beating in the wake of foreigners’ flight from emerging markets.

MWENYEKITI WA BODI, SUMA JKT, MEJA JENERALI (MSTAAFU) FARAH ABDI MOHAMMED AIPONGEZA TAASISI HIYO KWA KUZALISHA BIDHAA BORA

Mwenyekiti wa Bodi ya Suma JKT, Meja Jenerali (mstaafu), Farah Abdi Mohammed (wapili kulia) akiongozana na Mkurugenzi Msaidizi wa Suma JKT (anayeshughulikia Operesheni na Utawala), Kanali Shija Lupi (kulia) wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo ya kitegauchumi ya JKT kwenye viwanja vya Sabasaba katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam Juni 29, 2022
Mwenyekiti wa Bodi ya Suma JKT, Meja Jenerali (mstaafu), Farah Abdi Mohammed (kushoto), akitazama baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na Suma JKT.
Mwenyekiti wa Bodi ya Suma JKT, Meja Jenerali (mstaafu), Farah Abdi Mohammed (wapili kulia) akiongozana na Mkurugenzi Msaidizi wa Suma JKT (anayeshughulikia Operesheni na Utawala), Kanali Shija Lupi (kulia) wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo ya kitegauchumi ya JKT kwenye viwanja vya Sabasaba katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam Juni 29, 2022
Mwenyekiti wa Bodi ya Suma JKT, Meja Jenerali (mstaafu), Farah Abdi Mohammed, akiangalia samani zinazotengenezwa na Suma JKT.
Mwenyekiti wa Bodi ya Suma JKT, Meja Jenerali (mstaafu), Farah Abdi Mohammed (kushoto) akiongozana na Mkurugenzi Msaidizi wa Suma JKT (anayeshughulikia Operesheni na Utawala), Kanali Shija Lupi (kulia) wakati wakielekea kwenye banda la taasisi hiyo ya kitegauchumi ya Jeshi la Kujenga Taifa, viwanja vya Sabasaba Juni 29, 2022.
Mwenyekiti wa Bodi ya Suma JKT, Meja Jenerali (mstaafu), Farah Abdi  Jenerali (katikati), Mkurugenzi Msaidizi wa Suma JKT (anayeshughulikia Operesheni na Utawala), Kanali Shija Lupi (kushoto), Afisa Uhusiano Suma JKT, Meja John Ng'imba, wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wengine wa Suma JKT, walioweka kambi kwenye banda la taasisi hiyo ya kitegauchumi ya JKT kwenye Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam ili kuwahudumia wananchi. 

NA KHALFAN SAID, SABASABA

Meja Jenerali (mstaafu) wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Farah Abdi Mohammed, amesifu ubora wa bidhaa zinazozalishwa na Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) wakati alipotembelea

AMIRIJESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMUAPISHA MKUU MPYA WA MAJESHI (CDF)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (Chief of Defense Forces-CDF) Jenerali Jacob John Mkunda mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (Chief of Defense Forces-CDF) Jenerali Jacob John Mkunda katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimvalisha Cheo kipya cha Luteni Jenerali Salum Haji Othman kabla ya kumuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (Chief of Staff -C of S) katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (Chief of Defense Forces-CDF) Jenerali Jacob John Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (Chief of Staff -C of S) Luteni Jenerali Salum Haji Othman katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali waliohudhuria tukio la Uapisho wa Mkuu wa Majeshi pamoja na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lililofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.


PATA VICHWA VYA HABARI KUTOKA MAGAZETINI LEO IJUMAA JULAI 01, 2022