Tuesday, November 30, 2021

PATA VICHWA VYA HABARI KUTOKA MAGAZETI YA LEO JUMATANO DISEMBA 1, 2021













Banks’ hand in fall of shilling as market starved of the dollar

 

By Dominic Omondi 

Central Bank of Kenya Governor Patrick Njoroge holds the new 1000 shilling note with the old note during the media briefing on the new currencies notes [David Gichuru, Standard]

“Thanks to your hard work and commitment, our shilling has remained fairly stable and competitive.”


Central Bank of Kenya (CBK) Governor Patrick Njoroge must have been flattered by these words by President Uhuru Kenyatta.

CBK will not cap interest rates charged by digital lenders

 

By Dominic Omondi

Central Bank of Kenya (CBK) will not cap interest rates charged by digital lenders who might soon be put under the financial regulator’s watch.

CBK Raises 2021 Growth Prospects After Strong First Half

 


By Kepha Muiruri For Citizen Digital

The Central Bank of Kenya (CBK) expects the Kenyan economy to now grow by 6.4 per cent this year from a lower 6.1 per cent earlier.

CBK Extends Hold On Low Interest Rates

 


By Kepha Muiruri For Citizen Digital

The Central Bank of Kenya (CBK) has extended its hold of low-interest rates by keeping the benchmark lending rate/CBR unchanged at seven per cent for the 11th straight policy meeting.

CBK Says Shilling Not Out Of Line With Other Currencies

 


By Kepha Muiruri For Citizen Digital

The Central Bank of Kenya (CBK) has eased fears of volatility in the local forex exchange indicating the recent weakening of the shilling remains aligned to movements of other

November Inflation Falls To A 7-Month Low 5.8 Per Cent

 


By Kepha Muiruri For Citizen Digital

The cost of living has continued to ease, with the rate of inflation falling to 5.8 per cent in November from 6.4 per cent in October according to new data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS).

Centum Trims Half-Year Loss To Ksh.662 Million

 


By Kepha Muiruri For Citizen Digital

The Centum Investment Group has trimmed its half-year loss to September by 67 per cent to Ksh.662 million from Ksh.1.98 billion last year.

TPDF warns against peddlers of military ‘jobs’

Lt Colnel

TPDF's Lieutenant Colonel Daudenstius Ilonda

By Jacob Mosenda

Dar es Salaam. The Tanzania People’s Defence Forces (TPDF) has today issues a stern warning to conmen who lie to citizens that they can help them get slots in the armed forces.

Are Tanzania's sugar barons on their way back?

Sugar pic

Sugar from Uganda at the Kisumu pier in western Kenya. PHOTO | FILE | NMG

By Louis Kalumbia

Dar es Salaam. The government’s intention to build local sugar processing capacity could be in jeopardy if barons are left to re-emerge, analysts say.

Women in Unity state call for equal representation at all levels of government



By Christian Gaya 

“The time has come for South Sudanese women to take a leading role in their communities. Believe me, if women are given the opportunities we deserve, we will live in a peaceful country.”

That was the passionate and meaningful message from Nyakun Diu, the leader of a women’s group in Bentiu, who was speaking at a special forum organized by UNMISS distributed by APO Group to promote the global 16 Days of Activism campaign against gender-based violence.

Blue economy in Africa: The African Development Bank explores the continent’s off-shore renewable energy potential



By Christian Gaya 

The African Development Bank’s African Natural Resources Centre and the Sustainable Energy Fund for Africa have hosted the first in a series of webinars discussing the potential of Africa’s blue economy.

The webinar, held on November 23, distributed by APO Group centered around a study on the potential of

WHO says 'never again' as nations weigh pandemic treaty

WHO Director-General Tedros Adhanom Ghebreyesus

WHO Director-General Tedros Adhanom Ghebreyesus says another disastrous pandemic is bound to happen again unless countries show the resolve to strengthen global defences. PHOTO | DENIS BALIBOUSE | POOL | AFP

By AFP

Geneva,

The world must study the wreckage of Covid-19 and say "never again" by striking a pandemic preparedness treaty, the WHO said Monday as countries gathered to build a new accord.

Ethiopia launches taskforce to address violations in Tigray war

Women at a safe house for survivors of sexual assault, in Mekele, Tigray.

Women at a safe house for survivors of sexual assault, in Mekele, Tigray, on February 27, 2021. PHOTO | FILE | AFP

By AGGREY MUTAMBO

The Ethiopian government has launched a taskforce to address the human rights violations in the Tigray conflict.

Uganda, DR Congo launch joint operation against ADF rebels

fardc

Congolese troops FARDC throws a missile during a fight against rebels of ADF-Nalu, a Ugandan Islamist group which has been based on the Congolese side of the border. FILE PHOTO | AFP

By PATRICK ILUNGA

Uganda and its neighbour the Democratic Republic of Congo (DRC) on Tuesday launched a joint aerial operation against the Allied Democratic Forces (ADF), the terror group blamed for massacres in both countries.

SEKTA ZA MIFUGO SMT NA SMZ ZAWEKA MIKAKATI YA MAENDELEO


Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Amosy Zephania akifungua rasmi kikao cha ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa Sekta za Mifugo kilichofanyika Chakechake Pemba ambapo kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha wataalamu . Kushoto kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Bi. Maryam Juma Sadallah. 


Baadhi ya wataalam walioshiriki kikao cha ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwa Sekta za Mifugo wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo (Mifugo) Bw. Amosy Zephania (hayupo pichani) wakati akifungua kikao hicho kilichifanyika Chakechake Pemba 


Baadhi ya wataalam walioshiriki kikao cha ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwa Sekta za Mifugo wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo (Mifugo) Bw. Amosy Zephania (hayupo pichani) wakati akifungua kikao hicho kilichifanyika Chakechake Pemba. 


Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Bw. Amosy Zephania (wa pili kulia) akieleza dhamira ya ushirikiano wa Serikali mbili (SMT na SMZ) kuwa ni kutatua changamoto za wafugaji nchini kwa mfugaji bora wa ng’ombe Bwana Ahmed Shabaan Salum (kulia kwake)!walipomtembelea shambani kwake eneo la Kinyasini Wilaya ya Wete Pemba. 


Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Bw. Amosy Zephania (kulia) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Zanzibar Bi. Maryam Juma Sadallah wakiongea na mfugaji (hayupo pichani )mara baada ya kukagua banda la kufugia ng’ombe la Bwana Ahmed Shabaan walipomtembelea shambani kwake eneo la Kinyasini Wilaya ya Wete Pemba. 


Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo, na Ugani Dkt. Angello Mwilawa (aliyeshika majani) na baadhi ya wataalam walioshiriki kikao cha ushirikiano kati ya Serikali ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwa Sekta za Mifugo wakikagua malisho kwa mfugaji bora wa ng’ombe Bwana Ahmed Shabaan Salum walipomtembelea shambani kwake eneo la Kinyasini Wilaya ya Wete Pemba. 

.......................................................... 

Sekta za Mifugo za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kupitia makatibu wake wakuu wamekutana na kuweka mikakati ya kuendeleza sekta hizo kwa wafugaji wa pande mbili za Muungano ambapo maazimio saba yameridhiwa ikiwa ni hatua ya kufikia malengo tarajiwa. 

FURSA YA KUSAFIRISHA PARACHICHI KWENDA INDIA


Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo(wa katikati upande wa kulia)leo ameongoza timu ya wizara katika mazungumzo ya awali kuhusu rasimu ya makubaliano(MoU) kati ya Tanzania na India kuhusu fursa ya kuuza mazao ya jamii ya mikunde kama vile mbaazi kwenye soko la India. 

Ujumbe kutoka India uliongozwa na Bw. Anupam Mishra Joint Secretary, Department of Consumer Affairs, na Bw. Sunil Kumar Singh, Additional Managing Director, National Agricultural Cooperative Marketing Federation of India Ltd.(NAFED), Ministry of Consumer Affairs, Food and Public Distribution. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano, ofisi ndogo za wizara ya kilimo, kilimo4, jijini Dodoma, leo tarehe 29 Novemba, 2021  

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo(wa katikati upande wa kulia)leo ameongoza timu ya wizara katika mazungumzo ya awali kuhusu rasimu ya makubaliano(MoU) kati ya Tanzania na India kuhusu fursa ya kuuza mazao ya jamii ya mikunde kama vile mbaazi kwenye soko la India. Ujumbe kutoka India uliongozwa na Bw. Anupam Mishra Joint Secretary, Department of Consumer Affairs, na Bw. Sunil Kumar Singh, Additional Managing Director, National Agricultural Cooperative Marketing Federation of India Ltd.(NAFED), Ministry of Consumer Affairs, Food and Public Distribution. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano, ofisi ndogo za wizara ya kilimo, kilimo4, jijini Dodoma, leo tarehe 29 Novemba, 2021

REA YAVUKA MALENGO YA 50% KUWAFIKIA WANANCHI VIJIJINI

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za Wizara ya Nishati leo Novemba 30,2021 Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari katika Ofisi za Wizara ya Nishati leo Novemba 30,2021 Jijini Dar es Salaam.Kamishna Msaidizi wa umeme, Wizara ya Nishati, Mhandisi Styden Rwebangila akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za Wizara ya Nishati leo Novemba 30,2021 Jijini Dar es Salaam.


(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

*************************

Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imesema imevuka malengo iliyojiwekea ya asilimia 50 katika kuwafikishia wananchi huduma ya umeme viijini ambapo hadi kufikia Juni 2021 asilimia 69.6 ya vijiji vilikuwa vimefikiwa na huduma hiyo.

UDSM MARATHON KUTIMUA VUMBI DISEMBA 4,2021, NIC KUDHAMINI MBIO HIZO

Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja (NIC), Bw.Yessaya Mwakifulefule Mkurugenzi wa UDSM Marathon Bi.Lulu Kaaya wakionesha jezi ambayo itatumika katika mbio za UDSM Marathon ambazo zinatarajia kufanyika DISEMBA 4,2021 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. 


Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja (NIC), Bw.Yessaya Mwakifulefule Mkurugenzi wa UDSM Marathon Bi.Lulu Kaaya wakipongezanawakisaini mkataba wa makubaliano NIC kudhamini mbio za UDSM Marathon ambazo zinatarajia kufanyika Novemba 4,2021 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja (NIC), Bw.Yessaya Mwakifulefule Mkurugenzi wa UDSM Marathon Bi.Lulu Kaaya wakionesha mkataba uliosainiwa NIC kudhamini mbio za UDSM Marathon ambazo zinatarajia kufanyika Novemba 4,2021 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. 

Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja (NIC), Bw.Yessaya Mwakifulefule Mkurugenzi wa UDSM Marathon Bi.Lulu Kaaya wakipongezana mara baada ya NIC kusaini mkataba wa makubaliano kudhamini mbio za UDSM Marathon ambazo zinatarajia kufanyika Novemba 4,2021 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa UDSM Marathon Bi.Lulu Kaaya akizungumza mara baada ya kusaini mkataba wa makubaliano na NIC kudhamini mbio za UDSM Marathon ambazo zinatarajia kufanyika Novemba 4,2021 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja (NIC), Bw.Yessaya Mwakifulefule akizungumza mara baada ya kusaini mkataba wa makubaliano kudhamini mbio za UDSM Marathon ambazo zinatarajia kufanyika Novemba 4,2021 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

*************************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

SHIRIKA la Bima la Taifa (NIC) wameingia mkataba wa makubaliano wa kudhamini mbio za UDSM Marathon ambazo zinatarajiwa kutimua vumbi Disemba 04, 2021 kuanzia na kumalizika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAJENGO YA CBE MBEYA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara, tawi la Mbeya katika eneo la Iganzo jijini humo, Novemba 30, 2021. Wa pili kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujezi wa Chuo cha Elimu ya Biashara tawi la Mbeya katika eneo la Iganzo jijini humo, Novemba 30, 2021. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homela.



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujezi wa Chuo cha Elimu ya Biashara tawi la Mbeya katika eneo la Iganzo jijini humo



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye eneo kinapojengwa Chuo cha Elimu ya Biashara tawi la Mbeya , eneo la Iganzo jijini humo kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo hicho, Novemba 30,2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

*Azitaka taasisi zinazokusanya mapato ziweke mipango endelevu