Saturday, November 30, 2019

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE SUGWA ALIYEFIWA NA MKEWE BI. SABINA NDEGE KILANDA NA MWANAE SHIJA SUGWA KATIKA KIJIJI CHA KATENDE WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA. NOVEMBA 30, 2019


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akielekea Makaburini kwaajii ya kutoa heshima zake mwisho
kwenye kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki
duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani
Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha
Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akitazama Makaburi ya Familia ya Mzee Sugwa mara baada
kutoa heshima za mwisho kwenye kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke
wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende
Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee
Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwasalimia waombolezaji nyumbani kwa Mzee Sugwa kijiji
cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita aliyefiwa na Mwanae Shija Sugwa,pia alimtembelea na kutoa pole kwa kufiwa na Mkewe Marehemu Bi. Sabina
Ndege Kilanda aliyefariki dunia Septemba 15, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Bi. Beatrice Masanilo aliyefiwa na mumewe
walipokutana nyumbani kwa Mzee Sugwa kijiji cha Katende Wilayani Chato
mkoani Geita, alipomtembelea na kutoa pole kwa kufiwa na Mkewe
Marehemu Bi. Sabina Ndege Kilanda aliyefariki dunia Septemba 15, 2019 na
mwanae Shija Sugwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akitoa heshma za mwisho katika kaburi la Bi. Sabina Ndege
Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji
cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole
kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akisali katika kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa
Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende
Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee
Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.
PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment