Thursday, December 31, 2020

DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akizungumza na  Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja kutoa ufafanuzi wa changamoto mbali mbali zinazowakabili wanyakazi hao  katika  mkutano Maalum uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 31/12/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed Said alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Mkutano na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii uliofanyika leo.[Picha na Ikulu] 31/12/2020.

Mchangiaji Hafidh Sheha Hassan katika kitengo cha maradhi ya Ngozi na maradhi ya kujamiiana akiwasilisha mchango wake katika Mkutano maalum wa Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii  uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 31/12/2020.

Muuguzi na Mkunga Rukia Balo kutoka Mpendae  akiwasilisha mchango wake katika Mkutano maalum wa Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii  uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 31/12/2020.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (katikati) akifuatilia kwa makini changamoto zilizotolewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkutano maalum na Wafanyakazi hao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi  Dk Khalid Mohamed Suleiman.[Picha na Ikulu] 31/12/2020.

No comments :

Post a Comment