
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya akiwahutubuha waalikwa wa hfla ya makabidhiano ya kompyuta zilizotolewa na Benki ya CRDB leo katika katika Ofisi za Tume ya Maendeleo ya Ushirika Jijini Dodoma leo tarehe 31 Desemba, 2020.
Mrajis
Mkuu wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Dkt. Benson Ndiege akitoa neon
katika hafla hiyo ya makabidhiano ya kompyuta 100 zilizotolewa na Benki
ya CRDB kwenda kwa Tume ya Maendeleo ya Ushirika.
Watumishi
wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika pamoja na Watumishi wa Benki ya CRDB
wakifuatilia hafla hiyo iliyofanyika katika ofisi za Tume Jijini Dodoma.
Mwakilishi
wa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB nchini Bwana Prosper Nambaya
akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya kompyuta
moja ikiwa ni sehemu ya kompyuta 100 zilizotolewa na Benki hiyo kwa Tume
ya Maendeleo ya Ushirika, Jijini Dodoma leo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya akimkabidhi Mrajis Mkuu wa
Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Dkt. Benson Ndiege kompyuta alipokea
kutoka kwa Benki ya CRDB Jijini Dodoma leo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya akiwa pamoja na Mrajis Mkuu
wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Dkt. Benson Ndiege na Mwakilishi wa
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB nchini Bwana Prosper Nambaya pamoja na
Watumishi wa Benki ya CRDB pamoja na Watumishi wa Tume ya Maendeleo ya
Ushirika mara baada ya hafla ya makabidhiano ya kompyuta kutoka Benki
hiyo.
********************************************
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya amesema majukumu makubwa ya
Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza baada ya uzinduzi wa
usambazaji wa vitabu vya kiada vya darasa saba nchini leo Jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akipongezana na Mkurugenzi Mkuu wa
Taasisi ya Elimu Tanzania TET Dkt. Aneth Komba baada ya uzinduzi wa
usambazaji wa vitabu vya kiada vya darasa la saba nchini uliofanyika leo
Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi
ya Elimu Tanzania TET Dkt. Aneth Komba (kulia) wakitazama baadhi ya
vitabu vitakavyosambazwa nchini
Washiriki wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa usambazaji wa vitabu vya kiada vya darasa la saba nchini leo Jijini Dar es Salaam.Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizindua
usambazaji wa vitabu vya kiada vya darasa la saba nchini leo Jijini Dar
es Salaam.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akipata picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa elimu nchini katika uzinduzi wa usambazaji wa vitabu vya kiada vya darasa la saba nchini leo Jijini Dar es Salaam.
************************************************
NA EMMANUEL MBATILO
Jumla ya nakala Milioni 4,443,586 za vitabu vya kiada Darasa la saba vimesambazwa nchini
***********************************************
Na Emmanuel Malegi-DSM
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima ameipongeza Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa kuwa na huduma za ubingwa wa hali ya juu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akizungumza
na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja kutoa
ufafanuzi wa changamoto mbali mbali zinazowakabili wanyakazi hao katika
mkutano Maalum uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa
Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 31/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Mhe.Simai Mohamed Said alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa
Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Mkutano na Wafanyakazi wa
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii uliofanyika leo.[Picha na Ikulu]
31/12/2020.
Mchangiaji Hafidh Sheha Hassan
katika kitengo cha maradhi ya Ngozi na maradhi ya kujamiiana
akiwasilisha mchango wake katika Mkutano maalum wa Wafanyakazi wa Wizara
ya Afya na Ustawi wa Jamii uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh
Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya Mwenyekiti
wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein
Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 31/12/2020.
Muuguzi na Mkunga Rukia Balo
kutoka Mpendae akiwasilisha mchango wake katika Mkutano maalum wa
Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii uliofanyika leo katika
Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu]
31/12/2020.Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan
Mwinyi (katikati) akifuatilia kwa makini changamoto zilizotolewa na
Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkutano maalum
na Wafanyakazi hao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa
Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed
Said (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa
Rais,Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Dk Khalid Mohamed
Suleiman.[Picha na Ikulu] 31/12/2020.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim
Wangabo (aliyechuchumaa) akiangalia moja ya mfumo wa Kihenge
kilichomalizika kujengwa katika ziara yake ya kuangalia maendeleo ya
ujenzi wa vihenge hivyo akiwa na timu ya wataalamu wa Mkoa na Wilaya
pamoja na NFRA.
Timu ya Wataalamu wa Kilimo kutoka Ofisi ya mkuu wa mkoa wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Rukwa huo Mh. Joachim Wangabo wakiendelea na ukaguzi wa ujenzi wa vihenge vya kisasa katika eneo la Viwanda la Kanondo katika Manispaa ya Sumbawanga.
**************************************
Wakati Utekelezaji wa lengo la Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) la kuweka mfumo wa kisasa wa kutunza mazao kufikia asilimia 80. Wakala hao wameshauriwa
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa (kulia) akiongea na wafanyabiashara
wa mji wa Kayanga wakati akitoa pole kwa wahanga wa ajali ya moto
uliotokea Desemba 26, 2020 uliounguza maduka kumi na kusababisha hasara
ya Zaidi ya milioni mia moja tisini, katika kikao kilichofanyika katika
ukumbi wa Agaza, Kayanga, Karagwe. Leo desemba 31, 2020 (Picha zote na Eliud Rwechungura)
Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Godfrey
Mheruka (katikati) akitoa mapendekezo yatakayosaidia kukokomesha
majanga ya moto wilaya Karagwe katika kikao na
wafanyabiashara wa mji wa Kayanga na wahanga wa ajali ya moto
kilichofanyika katika ukumbi wa Agaza, Kayanga, Karagwe. Leo desemba 31, 2020
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa
(kulia) akikabidhi kiasi cha cha shilingi milioni moja laki mbili kwa
Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Godfrey Mheruka kama mkono wa pole kwa
wahanga wa ajali ya moto uliotokea Desemba 26, 2020
uliounguza maduka kumi na kusababisha hasara ya Zaidi ya milioni mia
moja tisini, katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Agaza,
Kayanga, Karagwe. Leo desemba 31, 2020
******************************************
Na Eliud Rwechungura- Karagwe Kagera
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa amekutana na wafanyabiashara wa mji wa Kayanga na kutoa pole kwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya – Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi ULRICH O. MATEI.
Mkaguzi wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Kanda ya Nyanda za Juu Kusini – GRACE KAPANDE.
*******************************************
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu 1. MWAPI ERASTO [36] Mkazi wa Iyela 2. DURGA RAJU [29] Mkazi wa Uhindini na 3. FREDY NGUVILLA [56] Mkazi
***********************************
NJOMBE
Wakulima wa zao la parachichi ambalo limebatizwa jina la dhahabu ya Kijani na wakazi wa
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mgodi wa Busolwa, Bw. Baraka Ezekiel, alipotembelea mgodi huo uliopo Kijiji cha Buhunda, Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, tarehe 30 Desemba, 2020. Kushoto kwa Waziri ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Stephen Byabato.
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgodi wa Busolwa , Bw. Baraka Ezekiel, alipotembelea Mradi wa Mgodi wa dhahabu wa Busolwa tarehe 30 Desemba, 2020. Kushoto kwa Waziri ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato.
*************************************************
Na Dorina Makaya,
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amelitaka Shirika la Umeme Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Desemba, 2020 amewasilisha fomu zake za maadili katika ofisi ya makao makuu ya Sekratarieti ya Maadili ya viongozi Jijini Dodoma.
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike amekabidhi fomu hizo kwa Kamishna wa Maadili, Jaji wa
Msaidizi wa Makamu wa Rais Maendeleo ya Jamii Bibi Felister Mdemu, kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi zawadi mbalimbali kwa Familia ya Watu 11 wenye ulemavu wa Macho katika Kituo cha Buigiri Jijini Dodoma leo Disemba 31,2020 kwa ajili ya sikukuu ya mwaka mpya, ambapo Makamu wa Rais amewatakia Watanzania wote Kheir na Baraka ya mwaka mpya 2021 na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kutuvusha salama mwaka 2020 na kutufikisha salama mwaka mpya wa 2021 na kuutakia mwaka 2021 uwe wa kheir, Baraka na mafanikio kwenye malengo yetu. pamoja na kuwaomba Watanzania kumuomba Mwenyezi Mungu ili atuepushe na kila janga katika Nchi yetu, nawaomba tuendelee kuchapa kazi. Kheir ya mwaka mpya wa 2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)