Thursday, January 31, 2019

TAASISI YA OCEAN ROAD YATOA MAFUNZO KWA MADAKTARI WA SARATANI KUTOKA NCHI ZA AFRIKA


k01
Mkurugenzi wa ORCI, Mkurugenzi wa Mipango hospitali ya Ocean Road Cancer Institute (ORCI), Dk.Daudi Maneno akizungumza wakati akifungua semina ya waandishi wa habari kuhusu magonjwa ya saratani iliyofanyika leo hospitalini hapo jijini Dar es salaam  kushoto ni Dk. Maguha Stephano.
k1
Mkurugenzi wa Kinga na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani ORCI, Crispin Kahesa akitoa mada  katika semina hiyo iliyofanyika leo kwenye hospitali ya Ocean Road.
k2 k3
Daktari Bingwa wa magonjwa ya Saratani Dk.  Sikudhani Muya akitoa mada kwa waandishi wa habari wakati wa semina hiyo.
……………………………………………………………………………….
Mkurugenzi wa Kinga na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani ORCI, Crispin Kahesa amesem taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na

TAASISI YA WAHASIBU WANAWAKE (TAWCA) YAMWAGA VITABU VYA HESABU SHULE YA SEKONDARI TURIANI WILAYA YA KINONDONI


1
Bi Neema Kiure Mssusa kutoka kampuni ya Ukaguzi wa mahesabu ya Ernst & Young na mwanachama wa Taasisi ya TAWCA  Tanzania Association Of Wome Cestfied Accountant  kushoto na Bi. Tumaini Lawrence Mkurugenzi Mtendaji wa (TAWCA) wa pili kutoka kushoto na wenzao wakikabidhi vitabu mbalimbali vya mahesabu kwa Angalo Izungo Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Triani wilayani Kinondoni jijini Dar es salaam ikiwa ni msaada walioutoa kwa shule hiyo kwa ajili ya watoto wanaosoma masomo ya hesabu.
2 3
Bi Neema Kiure Mssusa kutoka kampuni ya Ukaguzi wa mahesabu ya Ernst & Young na mwanachama wa Taasisi ya TAWCA  Tanzania Association Of Wome Cestfied Accountant  kushoto na Bi. Tumaini Lawrence Mkurugenzi Mtendaji wa (TAWCA) wa pili kutoka kushoto na wenzao wakikabidhi boksi la vitabu mbalimbali vya mahesabu kwa Angalo Izungo Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Triani wilayani Kinondoni jijini Dar es salaam na mmoja wa wanafunzi wanaosoma shuleni hapo  ikiwa ni msaada walioutoa kwa shule hiyo kwa ajili ya watoto wanaosoma masomo ya hesabu.
4
Bi Neema Kiure Mssusa kutoka kampuni ya Ukaguzi wa mahesabu ya Ernst & Young na mwanachama wa Taasisi ya TAWCA  Tanzania Association Of Wome Cestfied Accountant akikabidhi vitabu vya hesabu kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Turiani Wilayani Kinondoni  kushoto ni Bi. Tumaini Lawrence Mkurugenzi Mtendaji wa (TAWCA)  na wanachama wenzao wakishuhudia tukio hilo.
5
Wanachama wa Tanzania Association Of Wome Cestfied Accountant (TAWCA)wakiwa katika picha na wanafunzi wa shule hiyo mara baada ya kukabidhi msaada wa vitabu hivyo.
6
Wanachama wa Tanzania Association Of Wome Cestfied Accountant (TAWCA) wakiwa katika picha ya pamoja  mara baada ya kukabidhi vitabu hivyo.
…………………………………………………………………………………………
TAASISI ya Wanawake Wahasibu Tanzania(TAWCA)wametoa msaada wa vitabu mbalimbali vya hesabu na masomo ya biashara vyenye thamani ya Sh.milioni 8.5 kwa Shule ya Sekondari Turiani jijini Dar es Salaam.
Uamuzi wa TWCA kutoa msaada huo kwenye shule hiyo ni kuwahamasisha wanafunzi hasa

SPIKA WA BUNGE AKIMUAGA MHE. KITWANGA UWANJA WA NDEGE JIJINI DODOMA WAKATI AKIPELEKWA JIJINI DAR ES SALAAM KWA MATIBABU ZAIDI


PIC 3-min PIC 2-min PIC 1-min
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiagana na Mbunge wa Misugwi Mhe. Charles Kitwaga katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma kabla ya kusafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa  matibabu zaidi. Kulia kwa Spika ni Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula na kushoto kwa Spika ni Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai.
PICHA NA BUNGE

Mkataba Kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na MOI Kuwanufaisha Wananchi


1
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Ali Abdulla akikabidhiana mkataba wa Matibabu kwa wagonjwa kutoka Zanzibar na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) Dkt. Respicious Bonifece katika Hafla iliyofanyika Zanzibar Januari 31, 2019.
2
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Bi Asha Ali Abdulla akitia saini mkataba wa wagonjwa kutoka Zanzibar kupata huduma za kibingwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI)
3
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) Dkt. Respicious Boniface akitia saini mkataba wa wagonjwa kutoka Zanzibar kupata huduma za kibingwa za Taasisi hiyo.
4
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Ali Abdulla   akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani ) katika hafla ya utiaji saini Januari 31, 2019 Zanzibar.
5
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) Dkt. Respicious Boniface akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani ) katika hafla ya utiaji saini iliyofanyika Zanzibar leo.
6
Mwanasheria wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) Bw. Suleimani Mgerwa akitia saini Mkataba huo leo mjini Zanzibar.
7
  1. Mwanasheria wa Wizara ya Afya Zanziba Bi. Shufaa Nassoro Ali akitia sini Mkataba huo leo mjini Zanzibar.
(Picha zote na MOI)
…………………….
Na; Mwandishi wetu- MOI
Wizara ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesaini mkataba na Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) utakaowezesha wagonjwa kutoka Visiwani humo kupata matibabu  ya kibingwa waliyokuwa wakiyapata nje ya nchi kwa gharama kubwa.

VIKWAZO VISIVYO RASMI KATIKA BIASHARA BADO NI CHANGAMOTO NCHI ZA EAC


IMG_20190131_172109-min
Na Ahmed Mahmoud Arusha
Vikwazo visivyo rasmi Usalama utekelezaji wake bado ni changamoto ya kufikia malengo ya kibiashara kwenye nchi za ukanda wa Afrika mashariki katika sekta ya biashara ambapo baraza la biashara limewataka viongozi wa jumuiya hiyo kulingalia na kuchukuwa hatua za maksudi kulitolea tamko.
Akiongea wakati wa ufunguzi wa Ofisi za Baraza la biashara Afrika mashariki(EABC) jijini hapa Mwenyekiti wa baraza la mawaziri kwenye jumuiya hiyo amesema suala hilo ni miongoni mwa masuala yatakayojadiliwa na wakuu wa jumuiya hiyo kesho jijini hapa watakapokutana

KIKOSI CHA IGP SIRO CHATUA NJOMBE KUWASAKA WAUAJI WA WATOTO KIKIONGONZWA NA MKUU WA MAFUNZO YA POLISI NCHINI NSATO MARIJANI


index
NJOMBE 
Ikiwa siku moja imepita tangu naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi amuagize IGP Siro kutuma kikosi maalumu cha kiintelinsia kuongeza nguvu katika uchunguzi wa watekaji na wauaji wilayani Njombe , Hatimae hii leo kikosi hicho kimewasili mkoani Njombe kikiongozwa na Kamisha wa operesheni na mafunzo wa jeshi la polisi nchini Nsato Marijani.

“BENKI YA NMB, WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI ZAJA NA MIKAKATI ZAIDI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MAZIWA NCHINI”


index
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na maafisa kutoka Benki ya NMB na menejimenti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi
1
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo wakati wa kikao na maafisa kutoka Benki ya NMB na menejimenti wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (hawapo pichani) kuhusu uwekezaji katika sekta ya maziwa
2
Meneja Mwandamizi kutoka Benki ya NMB idara ya kilimo Bw. Carol Nyagaro akimuelezea Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anyeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel (hayupo pichani) juu ya uwekezaji wa sekta ya maziwa na Benki ya NMB
………………………
Na. Edward Kondela
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel ameitaka Benki ya NMB kushirikiana na wizara hiyo katika kukuza sekta ya maziwa nchini kwa kuwa bado kuna mwitikio mdogo wa wananchi kunywa maziwa kutokana na taarifa