Thursday, November 30, 2017

How mobile money can power lower segments of the African economy

 By Brian Wamatu
 Seppo Piisola and Jeniffer Mwetarin live worlds apart. Seppo is a Finn missionary whose work brought him to work among the Maasai where he met Jennifer when she was four years old.
ALSO READ: Cooperative Bank reports Sh13.7 billion profit before tax Jennifer was born blind and Seppo and his wife foresaw the immense challenges the girl from an underprivileged background was likely to face. Before returning to Finland, Seppo built the school that Jennifer first attended.

Kenya Airways fires 140 striking engineers in pay row


Kenya Airways Chief Executive Officer Sebastian Mikosz. (Photo: Courtesy) By Macharia Kamau
IN SUMMARY Kenya Airways said its technical department had 600 employees and also uses the resources of other partner airlines, especially when in other hubs KQ had on Wednesday said it had met demands for a pay hike by the engineers, with the pay increase implemented this April and backdated to March this year 
Kenya Airways has made good its threat to fire 140 engineers who had been on a go-slow, threatening to ground the national carrier’s operations.

Hope for clean water as Sh60b Thwake dam contract signed

Irrigation Principal Secretary Zeinab Hussein and China Gezhouba Group Company Ltd Kenya Branch General Manager Yang Tao at the agreement signing ceremony; with them is Water and Irrigation Cabinet Secretary Eugene Wamalwa. [Courtesy]By Standard Reporter 
 
IN SUMMARY The signing of the deal between the Government and China Gezhouba Group will see the latter begin work on the project that will provide over 150,000 cubic metres of water to Kitui and Makueni counties Residents of Kitui and Makueni counties will soon access clean water after the government signed a contract to construct the Thwake Multi-Purpose Dam.
The Sh60 billion contract was signed by the...

Safaricom stirs up market with its Masoko e-commerce platform

Safaricom’s e-commerce platform Masoko. [Photo Courtesy] By Dominic Omondi 
 
IN SUMMARY New entrant will have to compete with established players such as Jumia, Kilimall International and OLX, a unit of Naspers Ltd The unveiling of Safaricom’s e-commerce platform Masoko will kick off intense competition in the nascent online business. This is not only beneficial to the country’s online trading whose growth has not kept up with internet connectivity and formal retailing but also to online shoppers who stand to win big from ...

Visit that left Robert Mugabe in awe of Kenya’s land reforms

 
By Wainaina Wambu
Shortly after Robert Mugabe rose to power in Zimbabwe in 1980, trade ties with Kenya hit a new high. ALSO READ: How Army General blocked Mugabe from resigning First, as Prime Minister, Kenya’s trade volume with Zimbabwe increased to over Sh15 million in 1981 and by the time he ...

CMA dangles incentives to push for more listings at city bourse

Barclays Bank CEO Jeremy Awori (right) with Nairobi Securities Exchange CEO Geoffrey Odundo Nairobi Securities Exchange (NSE) Charity Trading Day in Nairobi on November 10 2017. (David Njaaga, Standard) By Patrick Alushula 
 
IN SUMMARY Move is meant to woo investors and restore NSE’s glory as it seeks ways to cope with rising competition from betting firms If there are nostalgic moments that Nairobi Securities Exchange (NSE) would want to re-live, its Chief Executive Officer Geoffrey Odundo says would be the entry of attractive firms such as Kenya Electricity Generating Company (KenGen) and Safaricom.

The plight of minority shareholders in post-restructured Kenya Airways

From left: Investment Secretary Esther Koimet, Treasury CS Henry Rotich and his Transport counterpart James Macharia and former Kenya Airways CEO Mbuvi Ngunze during the Kenya airways signing of financial and capital optimisation plan at the National Treasury. [Willis Awandu, Standard] By Macharia Kamau
 
IN SUMMARY The 78,000 minority owners have lost over 78 per cent stake following process that is expected to turn around the struggling airline The airline is however offering them an opportunity to claw back their stakes through an exclusive rights issue One Mike Maina Kamau owned four per ...

UBA Group Emerges African Bank of the Year



Former British Broadcasting Corporation(BBC) correspondent, Mr. Michael Buerk; Chief Executive, UBA Capital(Europe) Limited, representing UBA Group, Mr. Andrew Martin; and  Editor,  Middle East and Africa, The Banker. Mr. James King, during  The Banker Awards 2017, organised by The Banker Magazine, a publication of Financial Times(FT), where UBA Group coveted five awards, including the prestigious ‘African Bank of the Year 2017’, at a ceremony in London on Wednesday
                                                                                                                   
Lagos; Nigeria; 30 -11– 2017; Pan-African financial institution, United Bank for Africa (UBA) Plc has once again proven its leadership on the continent, as the Banker Magazine crowned UBA the “African Bank of the Year 2017”. This Banker Award is premier for Nigeria, as it marks the first time a Nigerian-headquartered bank will be wining the prestigious and highly coveted regional award.
To further demonstrate the group’s strength and ...

INDIA KUIKOPESHA TANZANIA DOLA MILIONI 500 KUJENGA MIRADI YA MAJI KATIKA MIJI 17 NCHINI


IMG_1759
Balozi wa India nchini Tanzania Bw. Sandeep Arya,  akieleza nia ya nchi yake kuwekeza katika Sekta ya Nishati, Kilimo, Ujenzi wa Mji wa Dodoma na miundombinu mingine kama Reli na Barabara wakati wa mkutano kati yake na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
IMG_1768
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) na Kamishna Msaidizi wa Sera, Bi Sauda Msemo wakimsikiliza kwa makini Balozi wa India nchini Tanzania Bw. Sandeep Arya akielezea jitihada za nchi yake katika kuwekeza kwenye masuala ya Afya wakati wa  mkutano kati ya pande hizo mbili Jijini Dar es Salaam.
IMG_1790
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa tatu kushoto) na Maafisa waandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakisikiliza kwa makini maelezo ya Balozi wa India nchini Tanzania Bw. Sandeep Arya (hayupo pichani) kuhusu utayari wa kuwekeza katika Sekta ya Umeme hasa umeme wa Jua, wakati wa Mkutano kati ya pande hizo mbili Jijini Dar es Salaam.
IMG_1791
Balozi wa India nchini Tanzania Bw. Sandeep Arya (kulia) akielezea kuhusu ushirikiano mzuri uliopo kati ya nchi hizo mbili hasa katika masuala ya kibiashara wakati wa Mkutano kati yake na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa tatu kulia), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam.
IMG_1800
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kulia akielezea kuhusu uwekezaji wenye kuongeza thamani ya mazao ya kilimo ambao ni fursa kwa nchi hiyo, wakati wa Mkutano na Balozi wa India nchini Tanzania Bw. Sandeep Arya (wa pili kulia), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
IMG_1813
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto) akiagana na Balozi wa India nchini Tanzania Bw. Sandeep Arya, baada ya kumalizika kwa mkutano kati yao Jijini Dar es Salaam.
IMG_1821
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa nne kulia), Balozi wa India nchini Tanzania Bw. Sandeep Arya, Maafisa waandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango na Ubalozi wa India wakiwa katika picha ya pamoja, baada ya kumalizika kwa mkutano ulioangazia Uwekezaji na biashara, Jijini Dar es Salaam.
Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango

Wateja wa Tigo Kushinda Mamilioni ya Fedha Katika Promosheni ya Msimu wa Sikukuu


Afisa Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Tigo, Hussein Sayed (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa promosheni ya ‘Fanya Muamala na Ushinde na Tigo Pesa’ jijini Dar es salaam leo, ambapo wateja wa Tigo pesa wana nafasi ya kujishindia hadi shilingi 15 milioni kwa kufanya miamala na Tigo Pesa. Kushoto ni Meneja wa Wateja Maalum, Mary Rutta na kulia ni Mkuu wa Huduma ya Tigo Pesa, James Sumari. 
Donge nono kushindaniwa kwa miamala yote ya Tigo Pesa
Dar es Salaam, 30 Novemba, 2017- Huduma ya fedha ya simu za mkononi inayoongoza nchini, Tigo Pesa leo imetangaza zawadi kemkem kwa wateja wake ambao watajishindia mamilioni ya pesa kupitia promosheni ya ‘Fanya muamala na ushinde na Tigo Pesa’ inayoendeshwa katika msimu huu wa Krismasi na Mwaka Mpya .

MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI (WCF) UTAENDELEA KUTOA FIDIA BORA – ERIC SHITINDI KATIBU MKUU – OWM



  Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Eric Shitindi, akitoa hotuba ya kufunga Mkutano
wa Kwanza wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), uliofikia
kilele leo alasiri kwenye Kituo cha Kimataifa cha AICC, jijini Arusha Novemba
30, 2017.


NA K-VIS BLOG
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Eric
Shitindi amewahakikishia wadau wote wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)
kuwa Mfuko utaendelea kutoa mafao bora kwa wafanyakazi wote sekta binafsi na
umma ambao wataumia, kuugua ama kufariki kutokana na kazi.
Hayo
ameyasema leo Novemba 30, 2017 wakati alipokuwa akifunga Mkutano Mkuu wa Kwanza wa Wadau wa
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi katika ukumbi wa AICC Jijini Arusha.
Aidha,
Bw. Shitindi amesisitiza ya kuwa suala la elimu ni la msingi sana na
limejitokeza ambalo mfuko ni lazima uhakikishe umewafikia wadau wote ili
wafanyakazi wote nchini waweze kujua kwa ufasaha haki zao ikiwemo kupata fidia
pale watakapokuwa wanastahili, pia waajiri wao waweze kufuata matakwa ya
kisheria ikiwemo kujisajili na kuwasilisha michango kama kwa wakati.
Pamoja na mambo mengine Bw. Shitindi ameahidi kusimamia zoezi la utoaji elimu
kwa wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama ambavyo ilielekezwa na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama 
wakati akifungua Mkutano huo tarehe 29 novemba 2017.
Nae
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bi. Anna Mghwira wakati akitoa salamu aliishukuru
Bodi ya Wadhamini pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko kwa kumualika kushiriki
katika Mkutano huo, pia amesema Mkoa wake unavyo viwanda vingi na mashamba
mengi ambavyo vinapelekea kuwepo kwa idadi kubwa ya wafanyakazi ambao watahitaji huduma ya Mfuko.
“Nitawapeni ushirikiano
wa kutosha kuhakikisha waajiri wote wa Mkoa wa Kilimanjaro wanajisajili katika
Mfuko ili  wafanyakazi wasijekukosa Mafao endapo wataumia, kuugua au kufariki” alisema Bi. Nghwira
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, Bw. Emmanuel Humba, amewashukuru wajumbe
wote wa Mkutano Mkuu kwa kutoa michango mingi ambayo imelenga kuboresha huduma
za Mfuko.
Katika
Mkutano huo uliobeba kauli mbiu ya “Mafao ya Fidia: Haki ya Mfanyakazi na chachu katika kukuza uchumi wa viwanda”, umeshuhudia Mfuko ukitoa tuzo kwa waajiri waliofanya vizuri
katika utekelezaji wa Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi.


  Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Eric Shitindi, akitoa hotuba ya kufunga Mkutano
wa Kwanza wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), uliofikia
kilele leo alasiri kwenye Kituo cha Kimataifa cha AICC, jijini Arusha Novemba
30, 2017.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba, akitoa hotuba wakati wa kufungwa kwa Mkutano wa Kwanza wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa, AICC jijini Arusha Novemba 30, 2017.
Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mshomba, akijadiliana jambo na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bi. Laure Kunenge, akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa WCF.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba, akitoa hotuba wakati wa kufungwa kwa Mkutano wa Kwanza wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa, AICC jijini Arusha Novemba 30, 2017.

Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF), Bw. Bernard Konga, (kulia),
akiteta jambo na
Mkurugenzi
Mkuu wa

Mfuko
wa Akiba ya Wafanyakazi
Serikalini (
GEPF) Bwana Daud Msangi wakati wa
Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF) kwenye
Kituo Mikutano cha Kimataifa, AICC jijini Arusha Novemba 30, 2017.


 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Emmanuel Humba na Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Bi. Radhmina Mbilinyi, wakiongoza kikao.
  Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bibi. Anna Mghwira, akihutubia Mkutano wa Kwanza wa
Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), uliofikia kilele leo
Novemba 30, 2017 kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa, AICC jijini Arusha.

 Viongozi wa vyama vya wafanyaakzi wakiteta jambo.

MAJALIWA MGENI RASMI MAHAFALI YA 33 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA


PMO_9121
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda,  baada ya kuwasili kwenye Mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania mjini Singida ambapo alikuwa mgeni rasmi, Novemba 30, 2017. 
PMO_9279
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika mjini Singida Novemba 30, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Chuo Kikuu hicho na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda
PMO_9309
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (mwenye miwani mbele) akiwa na wahitimu wenzake katika Mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika mjini Singida, Novemba 30, 2017
PMO_9382
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akimtunuku Shahada ya Uzamili Katika Elimu ya Utawala, Mipango na Sera (Master Of Education in Administration, Planning and Policy Studies), Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kushoto) katika Mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika mjini Singida, Novemba 30, 2017. Wapili kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Watatu kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinoloji, Profesa Joyce Ndalichako.
PMO_9411
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akitelemka kutoka kwenye jukwaa baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili Katika Elimu ya Utawala, Mipango na Sera (Master of Education in Administration, Planning and Policy Studies) na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Waziri Mkuu MStaafu, Mizengo Pinda (kulia)  huku  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia.
PMO_9721
Mke wa  Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa   akipokea ua kutoka kwa mwanae, Saad Majaliwa Kassim baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili katika Elimu ya Utawala, Mipango na Sera (Master of Education in Administraion, Planning and Policy Studies) katika Mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika mjini Singida Novemba 30, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
……………….
WAZIRI MKUU ATAKA UDAHILI ELIMU YA JUU UONGEZWE 
*Ashuhudia mkewe akitunikiwa Shahada ya Uzamili OUT...

SERIKALI YATILIANA SAINI NA KAMPUNI YA ADPI KUHUSIANA NA UJENZI DSC_0388

DSC_0388
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboudjumbe akizungumza machache kabla ya Utiliaji saini na Kampuni ya ADPI Ingenierie kutoka  Ufaransa kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
DSC_0408
Muakilishi kutoka Kampuni ya ADPIngenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin akizungumza machache kabla ya Utiliaji saini kuhusiana na  Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
DSC_0412
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboudjumbe akitiliana saini na Muakilishi kutoka Kampuni ya ADPIngenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
DSC_0420
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboudjumbe kushoto wakibadilishana Mikataba na Muakilishi kutoka Kampuni ya ADPIngenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
DSC_0430
Gari aina ya Buldoza likiendelea kusafisha katika sehemu ya Uwanja wa ndege Terminal Theree katika muendelezo wa Ujenzi wa Uwanja huo Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

CHINA YAAHIDI KUFADHILI UJENZI WA RELI KWA KIWANGO CHA KIMATAIFA (SGR)


IMG_1707
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (katikati),  Balozi wa China nchini Tanzania Bi. Wang Ke (wa pili kulia), Mwakilishi wa masuala ya Uchumi na Biashara wa Ubalozi wa China Bw. Lin Zhiyong (wa pili kushoto) pamoja na maafisa waandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango  wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa Mkutano kati ya pande hizo kuhusu Biashara, uwekezaji na ushirikiano, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
IMG_1730
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (Kulia) na mgeni wake Bi. Wang Ke, wakitoka nje ya Jengo la Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa mkutano kati yao uliohusu masuala mtambuka ya ushirikiano kati ya Tanzania na China.
IMG_1737
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) na Balozi wa China nchini Tanzania Bi. Wang Ke,  wakiagana   baada ya kumalizika kwa Mkutano kati yao ambapo balozi huyo aliahidi kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kati nchi hizo mbili, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
IMG_1742
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) akiagana na Mwakilishi wa masuala ya Uchumi na Biashara wa Ubalozi wa China  nchini Tanzania Bw. Lin Zhiyong baada ya kumalizika kwa Mkutano kati ya Waziri huyo na Balozi wa nchi hiyo Bi. Wang Ke (hayupo pichani), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
IMG_6480
Kamishina wa Fedha za Nje Bw. John Rubuga (kushoto) na Afisa anayeshughulikia masuala ya nje katika dawati la China Bw. Alfonce Mayala kutoka Wizara ya Fedha na Mipango wakifuatilia kwa makini majadiliano kati ya Balozi wa China nchini Tanzania Bi. Wang Ke,  na Waziri wa Fedha na Mipango (hawapo pichani), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam
IMG_6489
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), wa pili kulia akieleza kuhusu fursa zilizopo katika Sekta ya Utalii wakati wa  Mkutano kati yake na Balozi wa China nchini Tanzania Bi. Wang Ke, (hayupo pichani), Jijini Dar es Salaam, kulia ni Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. John Rubuga.
IMG_6490
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), wa tatu kulia akiwa katika mkutano na  Balozi wa China nchini Tanzania Bi. Wang Ke (wa pili kushoto) ambapo walikubaliana kuendeleza ushirikiano katika Biashara na uwekezaji kwa manufaa ya pande hizo mbili, mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
IMG_6535
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akieleza kuhusu kuwa na uwiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China kwa manufaa ya pande hizo mbili wakati wa mkutano kati yake na Balozi wa China nchini Tanzania Bi. Wang Ke, (hayupo pichani), Jijini Dar es Salaam.
IMG_6542
Balozi wa China hapa Nchini Bi. Wang Ke, (katikati) akiongoza maafisa wake wa ubalozi wa nchi hiyo hapa nchini wakati wa mkutano kati yake na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), Jijini Dar es Salaam.
IMG_6554
Balozi wa China hapa nchini, Bi. Wang Ke, akisisitiza jambo alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), Jijini Dar es Salaam
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha na Mipango
………………..
Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
BALOZI wa China hapa nchini, Wang Ke, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na kuahidi kuwa nchi yake iko tayari kushawishi taasisi za fedha ikiwemo Benki ya EXIM ya nchini humo kushiriki ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kimataifa baada ya kufanyika kwa upembuzi yakinifu wa mradi huo.

SERIKALI HAIJARUHUSU KOZI ZA FOUNDATION CHUO KIKUU HURIA


PMO_9121
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda,  baada ya kuwasili kwenye Mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania mjini Singida ambapo alikuwa mgeni rasmi, Novemba 30, 2017.
………………
SERIKALI haijatoa ruhusa kwa Chuo Kikuu Huria (OUT) kiendelee kutoa kozi ya ‘Foundation’ kama ambavyo imedaiwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii.

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO DECEMBER MOSI, 2017