Friday, December 25, 2020

KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM

Wakinamama wakiewa katika zoezi la kusagula sagula viwalo mbalimbali vya kutokea sikukuu.

Wakazi wa Dar es Salaam na maeneo ya jiwani wakiwa wamefurika kwa wingi katikati ya Soko Kuu la Kariakoo katika harakati ya kupata mahitaji mbalimbali kwa maandalizi ya sikukuu za Krismas na Mwaka mpya, hali hii imekuwa ni kawaida kutokea katika eneo hili la Karikakoo hasa inapofika wakati wa kukaribia sikukuu. 
Picha na Emmanuel Massaka, Michuzi Tv)

Pilika pilika za hapa na pale.

 

No comments :

Post a Comment