Friday, February 28, 2014

NSSF MOBILE TAARIFA : Pata taarifa za Michango katika Simu yako ya Mkononi


TAARIFA ZA MICHANGO:
Kujisajili:

Tuma neno SAJILI kwenda 15747

Kupata Taarifa:

Tuma neno TAARIFA kwenda 15747

Kujua Salio:

Tuma neno SALIO kwenda 15747

4 comments :