Friday, February 28, 2014

NSSF MOBILE TAARIFA : Pata taarifa za Michango katika Simu yako ya Mkononi


TAARIFA ZA MICHANGO:
Kujisajili:

Tuma neno SAJILI kwenda 15747

Kupata Taarifa:

Tuma neno TAARIFA kwenda 15747

Kujua Salio:

Tuma neno SALIO kwenda 15747

14 comments :

  1. Bora mmngekuwa na App tu kuliko mambo haya ya kutuma sms

    ReplyDelete
  2. mbona ukifanya kujisajili haikubali, kuangalio salio haikubali?

    ReplyDelete
  3. wasenge hawa wametegesha tu hakuna lolote

    ReplyDelete
  4. hata hayo manamba waloyaweka kupiga bure hayakubari. Unaishia kusikiliza makelele tu sijui wanafanyaga nn ofisini

    ReplyDelete
  5. yaani mnatgudanganya watu wazima

    ReplyDelete
  6. naomba mwongozo nataka kujua kama kampuni niliyoacha kazi imenilipia nssf

    ReplyDelete
  7. Namba ya simu ili kucheck salio la NSSF

    ReplyDelete
  8. Mbona mnaelekeza huduma ambazo hazipatikani.

    ReplyDelete