Friday, December 25, 2020

SOKO LA SABASABA DODOMA KUMEKUCHA,SAWA NA MTAA WA KONGO DAR


Wakazi wa Dodoma wakisongamana eneo la maduka walipokwenda kupata mahitaji jana Disemba 24,2020 katika Soko la Sabasaba jijini Dodoma, kwa ajili ya maandalizi ya sherehe ya Krismasi inayosherehekewa Duniani kote Desemba 25. Picha na Richard Mwaikenda.

 

No comments :

Post a Comment