Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na wasanii waliofika pamoja na
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho kutembelea Ikulu ya Chamwino
jijini Dodoma leo Jumapili Julai 12, 2020
PICHA NA IKULUPages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment