Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.
Mussa Azzan Zungu wakati Mhe. Zungu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais
Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 28,2020 kwa ajili ya
kujitambulisha na kupokea maelekezo mbalimbali yanayohusiana na
utekelezaji wa Majukumu yake.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan
Zungu wakati Mhe. Zungu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu
Jijini Dar es salaam leo Januari 28,2020 kwa ajili ya kujitambulisha na
kupokea maelekezo mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa Majukumu
yake. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments :
Post a Comment