Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa
Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kuwasili Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Malte
Loknitz kutoka Ujerumani (kushoto) ambaye alikuwa akitambulishwa na
Balozi wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Waechter katikati mara baada
ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na
Balozi wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Waechter mara baada ya
kumaliza kikao chao na ujumbe kutoka nchini Ujerumani Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa
Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Waechter mara baada ya mazungumzo yao
pamoja na Ujumbe kutoka nchini Ujerumani Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Waechter wasita
kutoka kushoto, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein
Mwinyi watatu kutoka kushoto, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa
Tanzania Jenerali Venance Mabeyo watatu kutoka kulia pamoja na wajumbe
wengine kutoka Ujerumani na Tanzania.
Mjumbe kutoka nchini Ujerumani
Malte Loknitz akizungumza na vyombo vya habari kwa lugha ya Kiswahili
mara baada ya kikao chao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mjumbe kutoka
nchini Ujerumani Malte Loknitz mara baada ya kuzungumza na vyombo vya
habari Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment