Saturday, August 18, 2018

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYUZI TABORA


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyuzi za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha nyuzi cha Tabora kiichopo kwenye Manispaa hiyo, Agosti 18, 2018. Kulia  ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Urvesh Rajani.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha nyuzi cha Tabora, Urvesh Rajani (kulia) kuhusu    pamba chafu wakati alipotembelea kiwanda  hicho katika Manispaa ya Tabora, Agosti 18, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha nyuzi cha Tabora, Urvesh Rajani (kulia) kuhusu kinu cha kuchambua pamba  wakati alipotembelea kiwanda  hicho katika Manispaa ya Tabora, Agosti 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyuzi za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha nyuzi cha Tabora kiichopo kwenye Manispaa hiyo, Agosti 18, 2018. Kulia  ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Urvesh Rajani.(PICHA NA OWM)

No comments :

Post a Comment