Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza
katika Mkutano Mkuu wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri nchini leo Jijini
Dodoma. Kauli mbiu ya mkutano huo ni; “Uboreshaji wa Mazingira ya Kutolea
Huduma za Afya ni Msingi wa Wananchi Kuelelekea Tanzania ya Viwanda na Uchumi
wa Kati”.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa akizungumza
alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu takwimu za afya katika Mkutano Mkuu wa
Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya leo Jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),
anayeshughulikia Sekta ya Afya, Dkt. Zainabu Chaula, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
ambaye ndiye mgeni rasmi katika hafla ya kufunga mkutano huo, Anthony Mtaka na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya. Kauli mbiu
ya mkutano huo ni; “Uboreshaji wa Mazingira ya Kutolea Huduma za Afya ni Msingi
wa Wananchi Kuelelekea Tanzania ya Viwanda na Uchumi wa Kati”.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa
akizungumza alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu takwimu za afya katika Mkutano
Mkuu wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri nchini leo Jijini Dodoma. Kauli
mbiu ya mkutano huo ni; “Uboreshaji wa Mazingira ya Kutolea Huduma za Afya ni
Msingi wa Wananchi Kuelelekea Tanzania ya Viwanda na Uchumi wa Kati”.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano Mkuu wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri nchini
wakifuatilia mada kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu
(NBS), Dkt. Albina Chuwa (hayupo pichani) leo Jijini Dodoma. Kauli mbiu ya
mkutano huo ni; “Uboreshaji wa Mazingira ya Kutolea Huduma za Afya ni Msingi wa
Wananchi Kuelelekea Tanzania ya Viwanda na Uchumi wa Kati”.(Pcha
na: Idara ya Habari –MAELEZO)
No comments :
Post a Comment