Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao
cha mafunzo kwa Kamati ya Uongozi, Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za
Bunge na Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge. Kikao hicho kinaendelea kwa siku
ya pili katika Ofisi ya Ndogo ya Bunge Zanzibar.anayefuata ni Spika Mstaafu wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Pandu Kificho, Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye ulemavu, Mhe.
Jenister Mhagama, Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai, Naibu Spika, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Mhe. Hawa Ghasia
Wajumbe
wa Kamati ya Uongozi, Makamu Wenyeviti na Wajumbe wa Tume ya Utumishi
ya Bunge wakimsikiliza mtoa mada kutoka Idara ya Usalama, Ndugu Mluli
Mahendeka katika semina ya kuwajengea uwezo inayofanyika katika Ofisi
Ndogo ya Bunge, Zanzibar. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza
kikao cha mafunzo cha mafunzo hayo.


No comments :
Post a Comment