Saturday, August 18, 2018

RAIS WA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMMED SHEIN ALIMWAGIA SIFA BUNGE LA JAMHURI



 
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein .Mheshimiwa Ndugai pamoja na ujumbe wake  ambao ni wawakilishi wa Kamati ya Bunge ya Uongozi na wawakilishi wa Tume ya Utumishi ya Bunge walikwenda kumtembelea Mhe. Shein leo Ikulu Zanzibar.
 Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai. Mheshimiwa Ndugai pamoja na ujumbe wake  ambao ni wawakilishi wa Kamati ya Bunge ya Uongozi na wawakilishi wa Tume ya Utumishi ya Bunge walikwenda kumtembelea Mhe. Shein leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai. Mheshimiwa Ndugai pamoja na ujumbe wake  ambao ni wawakilishi wa Kamati ya Bunge ya Uongozi na wawakilishi wa Tume ya Utumishi ya Bunge walikwenda kumtembelea Mhe. Shein leo Ikulu Zanzibar. Wa kwanza kushoto ni Mhe. Oscar Mukasa, Mhe. Mary Chatanda, Mhe.Fakharia Shomar Khamis, Mhe. Mussa Azzan Zungu na Mhe. Freeman Mbowe.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments :

Post a Comment