Rais
wa jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akimpa pole
mmoja wa watoto wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile,
nyumbani kwake Ada
Estate Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Agosti 17, 2018. Meja
Jenerali Lesulile alifariki dunia Agosti 14,2018 wakati akipatiwa
matibabu katika
hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam.

Rais wa jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli akitia saini katika kitabu
cha Maombelezo cha Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada
Estate Kinondoni nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika
hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018
Rais wa jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada

ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli akiwapa pole familiya ya
Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni
nyumbani kwa kufiwa na baba yao aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika
hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018
Mkuu wa Majeshi
Jenerali Venance Mabeyo akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa Marehemu Meja
Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa
marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili
Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018
(PICHA NA IKULU).

No comments :
Post a Comment