Saturday, August 18, 2018

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NYUZI CHA TABORA NA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA HUO YA KITETE.


PMO_0682
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyuzi za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha nyuzi cha Tabora kiichopo kwenye Manispaa hiyo, Agosti 18, 2018. Kulia  ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Urvesh Rajani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0701
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyuzi za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha nyuzi cha Tabora kiichopo kwenye Manispaa hiyo, Agosti 18, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora,  Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0641
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha nyuzi cha Tabora, Urvesh Rajani (kulia) kuhusu    pamba chafu wakati alipotembelea kiwanda  hicho katika Manispaa ya Tabora, Agosti 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 PMO_0585
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia akinamama waliojifungua katika wodi ya wazazi kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora ya Kitete Agosti 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PMO_0610
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua chumba cha upasuaji kilichojengwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora ya Kitete wakati alipotembela hospitali hiyo katika Manispaa ya Tabora, Agosti 18, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0559

No comments :

Post a Comment