Waziri wa Nishati, Dkt. Medard
Kalemani (kulia) akitoa maelekezo kwa Meneja Mkuu wa Miradi ya Umeme ya
TANESCO, Mhandisi Emmanuel Manirabona (kushoto) kwenye ziara yake
katika kituo cha kupoza umeme cha Kurasini kilichopo jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard
Kalemani (katikati) akitoa maelekezo kwa watendaji wa Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) katika kituo cha kupoza umeme cha Kigamboni kilichopo
jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard
Kalemani akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika kituo
cha kupoza umeme cha Kigamboni kilichopo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard
Kalemani pamoja na watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
akiendelea na ziara katika eneo la kituo kipya cha kupoza Umeme cha
Kigamboni lililopo Dege jijini Dar es Salaam
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akizungumza na wananchi wa Mbutu wilayani Kigamboni kwenye ziara hiyo
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Hashim Mgandilwa kwenye ziara hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha
kutengeneza mita za LUKU cha Ihemeter Tanzania Limited, Abraham
Renakili (kulia) akielezea shughuli zinazofanywa na kiwanda hicho kwa
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (wa tatu kutoka kulia).
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard
Kalemani (katikati) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda
cha kutengeneza mita za LUKU cha Ihemeter Tanzania Limited, Abraham
Renakili (kulia)
Mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda
cha kutengeneza mita za LUKU cha Ihemeter Tanzania Limited, Honoratha
Kundi (aliyekaa) akielezea hatua za utengenezaji wa mita za LUKU kwa
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (aliyesimama kulia)
Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza mita za LUKU cha Ihemeter Tanzania Limited, wakiendelea na kazi.
……………….
No comments :
Post a Comment