Waziri wa Maliasili na Utalii,
Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania,
Reborto Mengoni kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa Italia wanavyoweza
kuja nchini Tanzania kuchangamkia fursa za Utalii kwa kujenga hoteli
za hadhi ya nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana
leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mwambata anayeshughulikia masuala
ya utamaduni, Bi. Valeria La Scala ( wa kwanza kulia) na Mwambata
anayeshughulikia masuala ya Biashara, Bi. Michelangela Adamo ( wa pili
kulia) ( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)

- Balozi wa Italia nchini Tanzania, Reborto Mengoni ( wa kwanza kulia) akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe ( wa kwanza kushoto) kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa Italia wanavyoweza kuja kuchangamkia fursa za Utalii kwa kujenga hoteli za hadhi ya nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo jijini Dar es Salaam( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
Msemaji wa Wakala wa Huduma za
Misitu Tanzania (TFS) Glory Mziray (kulia) akiwa na Katibu wa Waziri,
Ephraimu Mwangomo ( wa pili kulia) wakimsikiliza Balozi wa Italia
nchini Tanzania, Reborto Mengoni (hayupo pichani) mara baada ya
kufanya mazungumzo na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne
Maghembe kuhusu masuala ya uwekezaji katika sekta ya Utalii kwa kujenga
hoteli za nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo
jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mambo kale,
Dkt.Fabian Kigadi pamoja na Mwambata anayeshughulikia masuala ya
utamaduni, Bi. Valeria La Scala ( wa kwanza kushoto) ( Picha na Lusungu
Helela- Maliasili)
Maafisa Waandamizi wa Wizara ya
Maliasli na Utalii wakiagana na Waambata wa Ubalozi wa Italia nchini
Tanzania walipokutana leo jijini Dar es Salaam. ( Picha na Lusungu
Helela- Maliasili)
No comments :
Post a Comment