Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiwapungia mkono
maaskari walioshiriki katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakati alipowasili katika hafla
ya chakula maalum kwa Askari hao iliyofanyika leo katika viwanja vya
Kambi ya KVZ Mtoni (kulia) Brigedia Jeneral Sharif Sheikh
Othman ,Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi
mbali mbali wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa hafla
ya chakula maalum kwa maaskari walioshiriki katika sherehe za
Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mara baada ya
kuwasili katika hafla hiyo iliyofanyika leo katika viwanja vya Kambi
ya KVZ Mtoni,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na
Kamanda wa Brigedia ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jeneral Sharif Sheikh
Othman wakati wa hafla ya chakula maalum kwa maaskari walioshiriki
katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar mara baada ya kuwasili katika hafla hiyo iliyofanyika leo
katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Pili wa
Rais Balozi Seif Ali Iddi, (wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Haji Omar
Kheir,(kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid na
Kamanda wa Brigedia ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jeneral Sharif Sheikh
Othman (wa pili kulia) wakiwa katika hafla ya chakula maalum
kwa maaskari walioshiriki katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo katika
viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akichukua chakula
wakati wa hafla ya chakula maalum iliyoandaliwa kwa maaskari
walioshiriki katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,iliyofanyika leo katika viwanja vya Kambi ya KVZ
Mtoni Zanzibar,
Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif
Ali Iddi, (wa pili kushoto) na Kamanda wa Brigedia ya Nyuki Zanzibar
Brigedia Jeneral Sharif Sheikh Othman (wa pili
kulia) wakichukua chakula katika hafla maalum kwa maaskari
walioshiriki katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo katika viwanja vya
Kambi ya KVZ Mtoni,
Maaskari wa vikozi vya
ulinzi walioshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,wakichukua chakula cha mchana kilichotayarishwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein leo katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar,
Maaskari wa vikozi vya
ulinzi walioshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,wakichukua chakula cha mchana kilichotayarishwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein leo katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Brigedia
Jeneral Sharif Sheikh Othman,Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar baada
ya hafla ya Chakula maalum aliyoiandaa kwa maaskari walioshiriki
katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,Sherehe iliyofanyika leo katika kambi ya KVZ Mtoni Mkoa wa
Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.] 04/02/2017.
No comments :
Post a Comment