Saturday, December 1, 2018

UNAIDS kuendelea kushirikiana na serikali kupambana na UKIMWI


 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde (wa pili kushoto) akiwasili kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma akiwa ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Bi .Mwanahamisi Mukunda (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng (kulia) wakielekea kutembelea kijiji cha Vijana wakati wa hafla ya kuhitimisha wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi yayonafanyika Jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde akipata maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kiufundi-FP wa shirika la JHPIEGO, Bi. Lena Mfalila (kushoto) kuhusu shughuli zinazoendeshwa na Shirika hilo kupitia mradi wa Tupange Pamoja (TCI)  ambayo ni huduma rafiki ya vijana katika afya ya uzazi kwa vijana wakati walipotembelea kijiji cha Vijana kwenye hafla ya kuhitimisha wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi yayonafanyika Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni Mtaalamu wa kiufundi-AYSRH wa shirika la JHPIEGO kupitia mradi wa Tupange Pamoja (TCI), Bw. Waziri Njau (katikati) pamoja na ‘Coacher’ -SRH wa shirika la JHPIEGO kupitia mradi wa Tupange Pamoja (TCI),Bi Rehema Mzungu.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Uzazi Salama mkoa wa Dodoma wa Shirika la PSI Tazania, Bi. Sophia Jamal (kushoto) kuhusu elimu ya afya ya uzazi wanayotoa kwa mabinti kuanzia miaka 13-19 yenye kauli mbiu ya Binti “Dhamiria kutimiza ndoto yako-“Simama Imara” “Vaa Taji”, “Kua Mzuri” wakati alipotembelea kijiji cha Vijana kwenye hafla ya kuhitimisha wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi yanayofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde na Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Bi .Mwanahamisi Mukunda aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na  Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko wakipata maelezo kutoka kwa Bi. Debora Frank (kushoto) ambaye ni Afisa Miradi wa Huduma za Vijana  wa shirika la EGPAF ambao wanaotekeleza mradi wa USAID wa Boresha Afya kwa kushirikiana na ENGENDER Health kuimarisha afya za watanzania wote na kuongeza upatikanaji wa huduma za afya timilifu za kiwango cha juu na jumuishi wakati alipotembelea kijiji cha Vijana kwenye hafla ya kuhitimisha wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi yanayofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma. Mradi unaolenga kuboresha huduma za kinga na matibabu ya VVU/UKIMWI, uzazi wa mpango, Kifua Kikuu na kutoa huduma mahususi wa kuyafikia makundi  maalum kwa watoto na vijana.
 Pichani ni Hawa Musa (20) mmoja kati ya vijana zaidi ya 2000 wanaonufaika na mafunzo ya ujasiriamali yaliyofadhiliwa na Shirika la EGPAF ambapo mafunzo hayo yamewasiaida kutengeneza bidhaa mbalimbali  ikiwemo vikoi, mikoba ya shanga, Ubuyu, sabuni za maji na miche ambazo zinawasaidia kupata fedha za matumizi mbalimbali akishiriki kuonyesha kazi zake katika mabanda ya kijiji cha Vijana wakati wa hafla ya kuhitimisha wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi yanayofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde akipata maelezo kutoka kwa Meneja masoko wa Shirika lisilo la kiserikali la T-MARC Tanzania, Bi. Sophia Komba kuhusu shirika hilo linalotoa elimu kuhusu matumizi ya Kondomu ili kujikinga na maambukizi ya magonjwa ya ngono ikiwa pamoja na UKIMWI katika mabanda ya kijiji cha Vijana wakati wa hafla ya kuhitimisha wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma. T-MARC Tanzania wanafanya kazi kwa kushirkiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto katika kuboresha afya ya jamii ya watanzania ambapo pia ni wasambazaji wa bidhaa za afya ambazo ni Kondomu ya kiume- Dume, Kondomu ya kike Lady Pepeta na vidonge vya uzazi wa mpango-Flexi P. Wa pili kushoto ni Outreach Educator wa T-MARC Tanzania, Dotto Iddy.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde, Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko,  Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Bi .Mwanahamisi Mukunda pamoja na Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng wakipata maelezo kutoka kwa Mshauri mwandamizi wa masuala ya afya ya uzazi kwa vijana kutoka mradi wa Sauti unaratibiwa na Shirika la JHPIEGO, Esther Majani (wa kwanza kushoto) kuhusu shughuli wanazofanya za kutoa elimu ya kupunguza maambukizi mapya ya VVU kwa makundi hatarishi ikiwemo mabinti walio nje ya shule wa miaka 15-24 wakati walipotembelea kijiji cha Vijana kwenye hafla ya kuhitimisha wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi yaliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Kutoka kushoto kwenda kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Madawa ya Kulevya na Ukimwi ambaye pia ni Mbunge wa Biharamulo, Mhe. Oscar Mukasa, Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Bi .Mwanahamisi Mukunda, mgeni rasmi Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde, Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko, Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng pamoja na Balozi wa Vijana ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mh. Jokate Mwegelo wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Bi .Mwanahamisi Mukunda akizungumza jambo kwa niaba ya Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge wakati akimkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde akihutubia wananchi wa Dodoma wakiwemo vijana wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng akitoa salamu za Umoja wa Mataifa wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Balozi wa Vijana ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mh. Jokate Mwegelo akizungumza na hadhira ya vijana (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Madawa ya Kulevya na Ukimwi ambaye pia ni Mbunge wa Biharamulo, Mhe. Oscar Mukasa akitoa salamu za kamati yake wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akitoa neno kwa mgeni rasmi Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akifurahi jambo na Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Balozi wa Vijana ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mh. Jokate Mwegelo akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Msanii wa Bongo Flava Maua Sama akitoa burudani kwa wakazi wa Dodoma wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Mchekeshaji maarufu nchini Stan Bakora akitoa burudani ya kuhamasisha upimaji wa UKIMWI kwa njia ya vichekesho wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Afisa Maendeleo Vijana wa Mkoa wa Dodoma, Bw. Tumsifu Mwasambale (kushoto) akionyesha moja ya picha iliyoshinda wakati wa wiki ya shughuli za kijiji cha vijana iliyochorwa kijana Edward Malongo na kupigwa mnada ambapo zaidi shilingi 2.7 zilipatikana ambapo nusu zilienda kwa mchoraji na nyingine kwenye mfuko wa udhibiti wa Ukimwi (ATF) wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde akikabidhi zawadi ya kombe ya mshindi wa kwanza kwa kapteni wa timu ya mpira ya vijana walio nje ya shule ya Panama, Bw. Dunia Salumu wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde akikabidhi zawadi ya kombe ya mshindi wa kwanza kwa kapteni wa timu ya mpira wa pete ya Vijana Queens, Ngesa Selemani wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 Baadhi ya kazi za mshindi wa kwanza katika eneo la uchoraji Edward Malongo (tisheti nyeupe)  wa picha zinatoa ujumbe wa kuhamasisha kampeni ya kutokomeza VVU zikionyeshwa kwa wageni wa meza kuu wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Baadhi ya wakazi wa Dodoma walioshiriki hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
 
Na Mwandishi wetu
Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng amesema kuwa kuwa shirika hilo litaendelea kushirikiana na Serikali katika mapambano dhidi ya

TAKUKURU MANYARA YAOKOA MAMILIONI YA FEDHA YALIYOTAKA KUIBIWA.


DSC03534
Na John Walter-Manyara
Taasisi ya kuzuaia na Kupambana na Rushwa [TAKUKURU] mkoa wa Manyara kwa kipindi cha Julai hadi Novemba 2018, imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi milioni 270,973,774.48 zilizokuwa zimefanyiwa ujanja ujanja kutoka kwenye miradi mbambali inayotekelezwa mkoani hapa na kuzirejesha serikalini na zingine kuzielekeza kwenye miradi husika.
Pia Taasisi hiyo imeanzisha utaratibu wa kufuatilia fedha zote zinazotolewa na serikali pamoja

RAIS BUSH WA MAREKANI AFARIKI DUNIA


RAIS wa 41 wa Marekani, George Herbert Walker Bush,  amefariki dunia jana, Ijumaa, Novemba 30, 2018, majira ya saa 4:10 usiku mjini Houston akiwa na umri wa miaka 94, msemaji wake Jim McGrath amethibitisha kifo chake na kusema chanzo chake kimetokana na tatizo la mapafu (pneumonia) lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
Shujaa huyo wa Vita vya Pili vya Dunia ambaye alizaliwa Juni 12, 1924, ni rais aliyeongoza kwa

LIVE: Rais Magufuli Katika Ziara Namanga-Arusha


MANYARA YAZIDI KUNG’ARA KWA MAENDELEO-MNYETI


1
Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Missaile Mussa akisoma taarifa ya maendeleo ya mkoa huo kwenye kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa huo.
2
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Pastory Mnyeti akizungumza kwenye kikao cha kamati ya ushauri cha mkoa huo (RCC) Mjini Babati. 
3
Meneja wa Tanroads Mkoani Manyara mhandisi Bashiri Rwesingisa akielezea taarifa ya utekelezaji wa matengenezo na ukarabati wa barabara za mkoa huo Mjini Babati. 
…………………………
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Alexander Pastory Mnyeti amesema mkoa huo unazidi kung’ara na kupiga hatua kwenye sekta mbalimbali ya maendeleo, hivyo viongozi waendelee kuwatumikia zaidi wananchi. 
Mnyeti ameyasema hayo mjini Babati kwenye kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa huo

Naibu Katibu Mkuu Mambo Ya Ndani Atembelea Eneo Linalotarajiwa kujengwa ofisi za wizara hiyo


PIX 2 (2)-min
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (wa pili kulia) akisikiliza
ufafanuzi kutoka kwa mmoja kati ya wasafishaji wa eneo linalotarajiwa kujengwa ofisi za Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi katika mji wa Serikali ulioko Ihumwa jijini Dodoma. Wa tatu kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali watu Wamoja Ayoub akifatiwa na Afisa tawala Andrew Kiangi wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
20181201_082511-min
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima akimuelekeza jambo
mmoja kati ya wasafishaji wa eneo linalotarajiwa kujengwa ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
katika mji wa Serikali ulioko Ihumwa jijini Dodoma kwaajili ya maandalizi ya ujenzi wa ofisi za wizara
hiyo. Naibu Katibu Mkuu huyo alitembelea eneo hilo mwishoni mwa wiki hii.

WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA NSSF KUWA NA UZALENDO KATIKA UTENDAJI


1-min
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama akiuliza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Bw.William Erio wakati wa ziara yake katika mradi wa ujenzi wa nyumba za Denge Beach Kigamboni Jijini Dar es Salaam Novemba 29, 2018.
2-min
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama akiangalia ramani ya ujenzi wa mradi wa Dege Beach Kigamboni uliojengwa na Shirika la Mifuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF Dar es salaam, wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa mradi huoWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama akiangalia ramani ya ujenzi wa mradi wa Dege Beach Kigamboni uliojengwa na Shirika la Mifuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF Dar es salaam, wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa mradi huo
3-min
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama akiuliza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Bw.William Erio (mwe nye koti la kijivu) wakati wa ziara yake eneo la Dungu lenye nyumba 439 ambapo tayari nyumba 94 zimekamilika katika eneo hilo.
4-min
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Bi Jayne Nyimbo akitoa maelezo ya ufafanuzi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama wakati wa ziara yake katika mradi wa nyumba za Dege Kigamboni Dar es Salaam.
5-min
Mhandisi Masuhuko Nkuba akitoa ufafanuzi wa ujenzi wa mradi wa ghorofa 35 za Mzizima Tower kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama wakati wa ziara yake.
6-min
Muonekano wa baadhi ya majengo ya mradi wa nyumba za bei nafuu za Tuangoma zilizojengwa na Shirika la NSSF zilizopo Dar es Salaam.
7-min
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama akiangalia urefu wa jengo la Ghorofa 35 la Mzizima wakati wa Ziara yake kukagua maendeleo ya mradi wa nyumba za NSSF Dar es Salaam.
8-min
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama akizungumza wakati wa kikao cha majumuisho pamoja na Uongozi wa NSSF na Bodi ya Wadhamini wa Shirika hilo mara baada ya kumaliza ziara yake Dar es Salaam
9-min
Wajumbe wakifuatilia maagizo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama (hayupo pichani) wakati wa kikao hicho.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
………………..
  1. NA.MWANDISHI WETU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Waziri Mhagama ameuagiza uongozi wa Shiriki la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kubadili mitazamo dhaifu ya kiutendaji na kuanza kufanya kazi kwa kuongozwa na uzalendo ili kuleta tija na kufikia malengo ya Shirika hilo.