Wednesday, March 1, 2017

TMA YAWATAKA WANANCHI KUEPUKA MAFURIKO KWA KUZIBUA MIFEREJI YA MAJI


index
Na : Mwandishi Wetu
Mamalaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imewashauri wananchi na Mamlaka za  Miji kuhakikisha kuwa mifumo na njia za kupitisha maji katika maeneo yao inafanyakazi kwa

Serikali kufanikisha Soka kushiriki Olimpiki Tokyo 2020


OL1
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akizungumza na wadau wa soka leo Jijini Dar es Salaam kuhusu namna gani timu ya Soka ya Tanzania inaweza kushiriki na kushinda michezo ijayo ya Olimpiki Tokyo 2020 katika kikao cha  Wadau Tuzungumze kilichoandaliwa na Wizara.
OL2
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akizungumza na wadau wa soka leo Jijini Dar es Salaam kuhusu namna gani timu ya Soka ya Tanzania inaweza kushiriki na kushinda michezo ijayo ya Olimpiki Tokyo 2020 katika kikao cha  Wadau Tuzungumze kilichoandaliwa na Wizara.
OL3
Katibu Mkuu Wizara ya  Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel  akieleza jambo kwa wadau wa Soka   (hawapo pichani)   kuhusu namna gani timu ya Soka ya Tanzania inaweza kushiriki na kushinda michezo ijayo ya Olimpiki Tokyo 2020 leo Jijini Dar es Salaam katika kikao cha  Wadau Tuzungumze kilichoandaliwa na Wizara.
OL4
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Omary Singo  akitoa maelezo kuhusu mikakati ya Wizara katika kufanikisha timu ya soka  ya Tanzania  kushiriki Olimpiki Tokyo 2020 leo Jijini Dar es Salaam katika kikao cha  Wadau Tuzungumze kilichoandaliwa na Wizara.
OL5
Msemaji wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) Bw. Alfred Lucas akichanhia mada wakati wa kikao cha kujadili namna gani timu ya Soka ya Tanzania inaweza kushiriki na kushinda michezo ijayo ya Olimpiki Tokyo 2020 katika kikao cha Wadau Tuzungumze kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
OL6
Mjumbe wa Kamati ya Usuluhishi na Nidhamu kutoka Baraza la Michezo la Taifa  Bibi: Zainab Mbiro akitoa maoni yake  kuhusu namna gani timu ya Soka ya Tanzania inaweza kushiriki na kushinda michezo ijayo ya Olimpiki Tokyo 2020 katika kikao cha Wadau Tuzungumze kilichoandaliwa na Wizara leo Jijini Dar es Salaam.
OL7
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Nape Moses Nnauye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa soka nchini baada ya kumaliza kikao cha kujadili namna gani timu ya Soka ya Tanzania inaweza kushiriki na kushinda michezo ya Olimpiki Tokyo 2020 kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
……………………………………………………………………….
Na Lorietha Laurence.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ametoa wito kwa wadau wa michezo nchini kushirikiana na Serikali kwa kupeleka michezo mbalimbali ikiwemo

MAJALIWA ASISITIZA MASHIRIKA YA UMMA KUSHIRIKIANA ILI KULETA MAENDELEO.


indexNa Daudi Manongi-MAELEZO
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewataka wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Mashirika ya Umma na Mamlaka za udhibiti kuwa wabunifu na kutumia fursa na rasilimali zilizopo

MWAKIFAMBA AKANUSHA UJUMBE ULIONEZWA MITANDAONI


DSC_0186
    Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba amekana kuhusika na utumaji wa ujumbe katika mitandao ya kijamii juu ya kuitisha mkutano na waandishi wa habari.
Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Rais wa Shirikisho hilo alipokuwa

WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU AINGIA OFISI YA DODOMA


images
=Katika kuitikia agizo la Serikali kuhamia Dodoma, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy A. Mwalimu amefika kwenye Ofisi za Wizara yake iliyopo eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma, sehemu ya Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Jamii na kukutana na watumishi wa Wizara yake.
Mhe. Ummy alipokelewa kwa shangwe na bashasha na watumishi  wa Wizara yake – Idara Kuu ya Afya na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakiongozwa na

NAIBU WAZIRI ENG. NGONYANI ARIDHISHWA NA KASI YA UTENDAJI WA TBA


U1
Muonekano wa baadhi ya Nyumba zinazojengwa na Wakala wa Majengo Nchini (TBA) Bunju, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam zikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi wake.
U2
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Nchini (TBA), Arch. Elius Mwakalinga, akifafanua hatua iliyofikiwa kwenye ujenzi wa nyumba kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, alipokagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba hizo jijini Dar es Salaam.
U3
Muonekano wa moja ya mtungi wa kutengenezea gesi ukaa (Biogas), inayoendelea kujengwa katika Nyumba zinazojengwa na Wakala wa Majengo Nchini (TBA), eneo  la bunju jijini Dar es Salaam. Gesi hiyo itatumika kutoa huduma kwa wakazi wa eneo hilo.
U4
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Nchini (TBA), Arch. Elius Mwakalinga (wa tatu kulia), akimuonyesha  Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, hatua iliyofikiwa kwenye ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam zinazojengwa na Wakala huo.
U5
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani wa pili kulia), akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Wakala wa Majengo Nchini (TBA), alipokagua maendeleo ya ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar  es Salaam. Kulia ni Meneja Kikosi cha Ujenzi cha TBA, Arch. Hamphrey Killo.
U6
Muonekano wa moja ya jengo la hosteli ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambalo limekamilika na majengo hayo yataanza kutumika wiki ijayo kufuatia ujenzi wake kukamilika.
……………………………………..
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani ameupongeza Wakala wa Majengo Nchini (TBA),  kwa jitihada wanazozifanya katika kuongeza mapato na

NHIF MKOANI TANGA YATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA

 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza wakati wa kikao cha pamoja
baina yao na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga kuhusu umuhimu
wa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili waweze kunufaika na
huduma zitolewazo
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya
wilaya ya Mkinga,kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF)Ally Mwakababu kulia ni Mratibu wa CHF wilaya ya Mkinga,Rashid
Gembe
 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akifuarahia jambo na
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga,Rashid Gembe mara baada ya
kufungua kikao cha pamoja baina ya Mfuko huo na watumishi wa
Halmashauri hiyo kuhusu umuhimu wa kujiunga na mfuko huo ili kuweza
kunufaika na huduma zinazotolewa.
 
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
Mkoani Tanga (NHIF)
Miraji Kisile akieleza umuhimu wa watumishi wa halmashauri hiyo kujiunga
na mfuko huo ili kuweza kunufaika na huduma zinazotolewa wakati wa
kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa Halmashauri hiyo
Kutoka
kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF)
Ally Mwakababu akiteta jambo na Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa
Bima ya Afya Mkoani Tanga,Miraji Kisile katikati kushoto ni Mratibu wa
CHF wilaya ya Mkinga Elizaberth Dickson kabla ya kuanza semina hiyo ya
uhamasishaji wa watumishi kujiunga na mfuko huo
Daktari akiwapima baadhi ya
watumishi wa halmashauri huo
 Daktari akiwapima baadhi
ya watumishi wa halmashauri huo
Afisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF) Juliana Mathias wa pili kulia akiwapima baadhi ya watumishi
wa Halmashauri hiyo uzito wakati wa uhamasishaji huo
 Baadhi ya watumishi wa
Halmashauri ya wilaya ya Mkinga wakifuatilia kikao hicho
Baadhi ya watumishi wa
Halmashauri ya wilaya ya Mkinga wakifuatilia kikao hicho
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha