Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo
cha Afya cha Matemwe Mbuyu Maji jimbo la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini
Unguja akiwa katika ziara yake ndani ya Mkoa huo (kushoto) Waziri wa
Afya,Ustawi wa Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Nassor Ahmed
Mazrui.[Picha na Ikulu.] 05/07/2021.
Wananchi
wa Matemwe Mbuyu Maji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akzungumza
nao leo baada kuweka jiwe la msingi kituo cha Afya cha Matemwe Mbuyu
Maji jimbo la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara yake
ndani ya Mkoa huo.[Picha na Ikulu.] 05/07/2021.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akizungumza na Wananchi wa Matemwe Mbuyu Maji baada kuweka
jiwe la msingi kituo cha Afya cha Matemwe Mbuyu Maji jimbo la Mkwajuni
Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara yake ndani ya Mkoa huo leo
(kulia) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe.
Nassor Ahmed Mazrui..[Picha na Ikulu.] 05/07/2021.
No comments :
Post a Comment