Monday, July 5, 2021

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea shamba la mkulima wa zabibu ,kiwanda cha kuchakata zabibu pamoja na taasisi ya utafiti wa kilimo Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia zabibu zilizovunwa kutoka kwenye shamba la mkulima, Stanley Swaga, wakati alipotembelea Shamba la mkulima huyo, lililopo Hombolo Jijini Dodoma, Julai 5, 2021
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia tunda la zabibu alipotembelea shamba la Mkulima Jully Sombe, lililopo Hombolo Jijini Dodoma, Julai 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkulima Jully Sombe (kushoto), wakati alipotembelea shamba lake, lililopo Hombolo Jijini Dodoma, Julai 5, 2021

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea Shamba la Mkulima wa Zabibu Photunatus Kenyumko (katikati) lililopo Msalato Jijini Dodoma Julai 5, 2021.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kitalu cha Shamba la zabibu alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), iliyopo Makutopora Jijini Dodoma, Julai 5, 2021.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Dkt. Godfrey Mkamilo (kulia) kuhusu mche wa mti wa zabibu, wakati alipotembelea Makao Mkuu ya Taasisi hiyo, iliyopo Makutopora Jijini Dodoma, Julai 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchakata zabibu cha CETAWIKO Florenzo Chesini, wakati  alipotembelea kiwanda hicho ili kuona utendaji kazi wake, Hombolo Jijini Dodoma Julai 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments :

Post a Comment