Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kibaigwa mkoani Dodoma wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili leo tarehe 07 Julai, 2021. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment