Wednesday, July 14, 2021

RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA MWAKA MMOJA WA HAYATI BENJAMIN MKAPA



 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Harambee kwa ajili ya kuchangia Taasisi ya Benjamin Mkapa (BMF Endowment Fund) kwenye hafla ya kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin Mkapa (1St Mkapa’s Legacy Symposium) katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Tunzo ya Picha kwa Mama Anna Mkapa kwa kutambua Mchango Mkubwa wa Hayati Mzee Mkapa alioutoa kwa Taifa, kwenye kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin Mkapa (1St Mkapa’s Legacy Symposium) iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Juni 14,2021.(Picha na Ikulu).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin Mkapa (1St Mkapa’s Legacy Symposium) katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakiwa wamesimama wakati Wimbo wa Taifa na ule wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukipigwa katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam leo Julai 14,2021 kabla kufungua Kongamano la kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin Mkapa (Mkapa’s Legacy Symposium).







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam leo Julai 14,2021 kwa ajili ya kufungua Kongamano la kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin Mkapa (1St Mkapa’s Legacy Symposium).


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya Viongozi alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam leo Julai 14,2021 kwa ajili ya kufungua Kongamano la kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin Mkapa (1St Mkapa’s Legacy Symposium).


No comments :

Post a Comment