
Awapa Somo la "MSHAHARA WAKO NI SAWASAWA NA MATUMIZI NA KUJIWEKEA AKIBA"
(Income = Consumption + Savings).
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Watumishi kukopa
kwa malengo ya
RC Makalla amewataka Walimu kuacha kurubuniwa kwa mikopo ya Chapu Chapu yenye riba kubwa ambayo mwisho wa siku inawaingiza Katika Maisha Magumu badala ya neema.
Aidha RC Makalla amewapatia Walimu somo la namna Bora ya kutumia Mshahara wao na kuweka akiba kwaajili ya kuanzisha miradi ya kujiimarisha kiuchumi ili watakapostaafu Waweze kuishi maisha Bora.
Hayo yote yamejiri wakati wa ufunguzi wa Semina ya Siku ya Walimu iliyoandaliwa na bank ya NMB.



No comments :
Post a Comment