Katibu
tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussan Abbas akizungumza na viongozi
wa PSPTB pamoja na waandishi wa habari Wanawake wakati wa ufunguzi wa
mafunzo kwa kundi maalumu la Wanahabari Wanawake wa Dar es Salaam yenye
lengo la kuwajengea uwezo Wanahabari hao juu ya masuala mbalimbali ya
fani ya Ununuzi na Ugavi yaliyofanyika katika ukumbi wa PSSSF Golden
Jubilee Tower mkoani Dar es Salaam.Katibu tawala wa mkoa wa Dar es
Salaam, Hussein Abbas amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos
Makalla.
Mkurugenzi
wa Fedha na Utawala wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB),
Paul Bilabaye akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa PSPTB pamoja na
waandishi wa habari Wanawake kuhusu namna walivyojipanga kutoa Elimu kwa
makundi mbalimbali ili kiweza kujua kazi zinazofanywa na Bodi hiyo
pamoja na kujua fani ya Ununuzi na Ugavi wakati wa maadhimisho ya wiki
ya utumishi wa umma.Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Bodi ya Wataalamu
wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Paul Bilabaye alimwakilsiha Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma (PSPTB) Godfred
Mbanyi
Afisa
Biashara mkoa wa Dar es Salaam, Thabit Massa akizungumza na waandishi
wa habari Wanawake waliofika kwenye semina ya PSPTB kuhusu fursazilizopo
mkoani humo na namna walivyojipanga kuwafikia wananchi mbalimbali kwa
ajili ya utoaji wa Elimu ya Biashara pamoja na upatikanaji wa mikopo ya
Serikali ikiwemo ya halmashauri
Mkuu
wa kitengo Cha Masoko na Uhusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa
Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi Shamim Mdee akitoa ufafanuzi baadhi ya
mambo kwenye Mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo Wanahabari
Wanawake kuhusu masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na Ugavi
yaliyofanyika katika ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower mkoani Dar es
Salaam.
Baadhi
ya maofisa kutoka Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), PSSSF,
Benki ya NMB pamoja na waandishi wa habari wanawake wakifuatilia mada
wakati wa ufunguzi wa Mafunzo kwa Waandishi wanawake yenye lengo la
kuwajengea uwezo kuhusu masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na Ugavi
yaliyofanyika katika ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower mkoani Dar es
Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Taaluma wa Bodi ya wataalamu wa ununuzi na
ugavi nchini Tanzania(PSPTB), Amos Mang'ombe akitoa mada kwa waandishi
wa habari wanawake wakati wa Mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo
kuhusu masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na Ugavi
Katibu
tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussan Abbas akiwa kwenye picha ya
pamoja na wadau mbalimbali wakiwemo PSSSF pamoja na NMB mara baada
ya kufanya ufunguzi wa mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo kuhusu
masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na Ugavi.Katibu tawala wa mkoa wa
Dar es Salaam, Hussein Abbas amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Amos Makalla.
Katibu
tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussan Abbas akiwa kwenye picha ya
pamoja na wafanyakazi wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi
(PSPTB) mara baada ya kufanya ufunguzi wa mafunzo yenye lengo la
kuwajengea uwezo kuhusu masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na
Ugavi.Katibu tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussein
Abbas amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla.
Katibu
tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussan Abbas akiwa kwenye picha ya
pamoja na waandishi wanawake mara baada ya kufanya ufunguzi wa mafunzo
yenye lengo la kuwajengea uwezo kuhusu masuala mbalimbali ya fani ya
Ununuzi na Ugavi.Katibu tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussein
Abbas amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla.
No comments :
Post a Comment