Waziri
wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) pamoja na Waziri wa Maji, Nishati na
Madini wa Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame wakisaini makubaliano ya
pamoja ya ushirikiano kwa wizara hizo mbili.
Makubaliano hayo
yanalenga kutoa fursa kwa wizara hizo mbili zenye dhamana ya kutoa
huduma ya maji kushirikishana uzoefu na mbinu mbalimbali ili kulifikia
lengo la kufikisha huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza kwa
wananchi.
Pages
Wednesday, June 23, 2021
AWESO ATEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA KUHUSU USHIRIKIANO NA SERIKALI YA ZANZIBAR KWA VITENDO
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)



No comments :
Post a Comment