NAIBU
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akitembelea mabanda na kujionea shughuli
zinazofanywa na Wajane wa Mkoa wa Dar es Salaam katika kuadhimisha Siku
ya Wajane Duniani leo tarehe 23 Juni, 2021, yanayofanyika kimkoa katika
viwanja vya Mnazi Mmoja.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)



No comments :
Post a Comment