
RAIS
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki
Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika SADC unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
Kimataifa wa Joaquim Chissano uliopo Maputo nchini Msumbiji leo tarehe
23 Juni, 2021.



No comments :
Post a Comment