Saturday, June 19, 2021

NEWS ALERT: SERIKALI YASEMA IMEANZA KUONA VIASHIRIA VYA KUTOKEA KWA WIMBI LA TATU LA MLIPUKO UGONJWA WA COVID-19 NCHINI,WANANCHI WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI ZAIDI

Mkurugenzi wa Idara ya Kinga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi akizungumza na Waadishi wa habari leo mkoani Dar es Salaam kuhusu kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 na uwezekano wa kutokea kwa wimbi la tatu la maambukizi ya Ugonjwa wa UVIKO-19 Nchini.

Mshirikishe mwenzako:

 

No comments :

Post a Comment