Wednesday, May 5, 2021

RAIS SAMIA AKIWA KWENYE DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS KENYATTA


Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha  na Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta kabla ya kwenda kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta na Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta kabla ya kwenda kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo 




 

 

No comments :

Post a Comment