Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akifurahia Jambo na viongozi wa
Jumuiya ya kuhifadhisha Qur’an Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao
Sheikh Othman Ali Kaporo (katikati) walipomtembelea leo Ofisini kwake
Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,
Mhe. Abdallah Ulega
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akimsikiliza Naibu Waziri wa Mifugo
na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (wapili kushoto) pale viongozi wa Jumuiya
ya kuhifadhisha Qur’an Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Sheikh
Othman Ali Kaporo (katikati) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na viongozi
wa Jumuiya ya kuhifadhisha Qur’an Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti
wao Sheikh Othman Ali Kaporo (wapili kulia) walipomtembelea leo Ofisini
kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,
Mhe. Abdallah Ulega.(PICHA NA OFISI YA BUNGE.)
No comments :
Post a Comment