Saturday, February 13, 2021

WAZIRI MKENDA AFUNGUA MKUTANO WA WAFANYABIASHARA WA MAZAO YA NAFAKA DODOMA

Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda,akizungumza wakati akifungua  Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini kilichofanyika  leo Februari 13,2021 jijini Dodoma.

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda, wakati akifungua  Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini kilichofanyika  leo Februari 13,2021 jijini Dodoma.

Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda, akijadili jambo na Katibu Mkuu wake Bw.Gerald Kusaya,katika Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini kilichofanyika  leo Februari 13,2021 jijini Dodoma

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya,akizungumza katika Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini kilichofanyika  leo Februari 13,2021 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James,akizungumza katika Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini kilichofanyika  leo Februari 13,2021 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge,Mifugo,Kilimo na Maji Mhe. Christina Ishengoma,akizungumza katika Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini klichofanyika leo Februari 13,2021 jijini Dodoma

Mwenyekiti wa TCCIA kutoka Mkoa wa Songwe Bw.Charles Chenza akitoa taarifa ya  Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini klichofanyika leo Februari 13,2021 jijini Dodoma

Baadhi ya washiriki wakifatilia  Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini klichofanyika leo Februari 13,2021 jijini Dodoma.

Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua Mkutano wa wafanyabiashara wa mazao ya nafaka wenye lengo la kujadili changamoto zilizopo kwenye mazao hayo nchini kilichofanyika  leo Februari 13,2021 jijini Dodoma.

PICHA ZOTE NA ALEX SONNA-FULLSHANGWEBLOG

 

No comments :

Post a Comment