Saturday, January 30, 2021

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI ZIARANI MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi, wakiondoka katika viwanja vya Ofisi ya CCM Wilaya ya Kusini Makunduchi ilioungua moto hivi karibuni.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya kumuombea Rais Mstaaf wa Awamu ya Nne Marehemu Mzee Idrisa Abdulwakil, ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Kusini Unguja Sheikh Ali Sharif, alipofika kulidhuri kaburi la Marehemu Kijiji kwao Makunduchi akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja leo.30-1-2021.(Picha na Ikulu) 

 

No comments :

Post a Comment