Sunday, January 31, 2021

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BAHI MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Bahi mkoani Dodoma mara baada ya kusimama wakati akitokea Manyoni mkoani Singida leo tarehe 31 Januari 2021.

No comments :

Post a Comment