Sunday, January 31, 2021

RAIS DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYONI MKOANI SINGIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manyoni mjini mkoani Singida wakati akitokea mkoani Tabora leo tarehe 31 Januari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Manyoni mjini mkoani Singida wakati akiondoka mara baada ya kuwahutubia leo tarehe 31 Januari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na watoto pichani ambao majina yao (hayakupatikana mara moja) mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Manyoni mjini mkoani Singida-PICHA NA IKULU

 

No comments :

Post a Comment