MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CHAMWINO DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha
Baraza la Mawaziri kilichoketi leo Januari 15,2021 Ikulu Chamwino Jijini
Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments :
Post a Comment