MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO
CHA NNE NA MAARIFA, UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI NA DARASA LA
NNE KWA MWAKA 2020 YAMETANGAZWA LEO IJUMAA JANUARI 15,2021
Baraza la Mitihani Tanzania
(Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2020 yakionyesha
kuwa asilimia 85 ya waliofanya mtihani huo wamefaulu.
Kwa mujibu wa Necta iliyotangaza
matokeo hayo leo Ijumaa Januari 15, 2021 kupitia kwa katibu mtendaji
wake, Dk Charles Msonde, watahiniwa 434,654 walifanya mtihani huo na
373, 958 wamefaulu katika madaraja mbalimbali.
Dk Msonde amesema kwa matokeo hayo kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 5.19.
Katika mtihani huo Paul Luziga wa sekondari ya Pandahill iliyoko Mbeya amekuwa mwanafunzi wa kwanza kitaifa.
TAZAMA MATOKEO HAPA..BOFYA LINK
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 202
No comments :
Post a Comment