Taswira za maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza lenye urefu wa kilometa 3.2 linalogengwa kwa gharama ya bilioni 700. Linaloomekana pichani ni daraja la muda la kupitishia magari na vifaa wakati wa ujenzi wa daraja lenyewe.
No comments :
Post a Comment