
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na
Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Pandu Ameir Kificho
alipofika katika Skuli ya Sekondari ya Mpendae Wilaya Mjini katika kambi
ya siku mbili ya utoaji wa huduma za macho kwa Wananchi zinazotolewa na
Taasisi “Bilal Muslim Mission”.[Picha na Ikulu] 25/12/2020. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipata maelezo
kutoka kwa Mratibu wa Taasisi ya Bilali Musslim Mission Bw. Ayn
Sharif,iliyoweka Kambi ya siku mbili ya utoaji wa huduma mbali mbali za
macho kwa Wananchi katika Skuli ya Sekondari ya Mpendae Wilaya Mjini
alipotembelea leo {Picha na Ikulu] 25/12/2020. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Mhe.Idrissa Kiwana Mustafa (katikati) alitembelea katika
Madarasa mbali mbali ya Skuli ya Sekondari ya Mpendae Wilaya Mjini
kuangalia Wananchi waliofika kuapata huduma ya macho inayotolewa na
Taasisi “Bilali Muslim Mission” ambayo iliyoanza leo na itakuwa nia siku
mbili na siku ya tatu kuendelea katika Hospitali ya Mnazi Mmoja.
[Picha na Ikulu] 25/12/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi alipokuwa akitoa nasaha zake kwa wananchi waliofika kupata huduma
za afya ya macho leo alitembelea katika Skuli ya Sekondari ya Mpendae
Wilaya Mjini inayotolewa na Taasisi ya “Bilal Muslim Mission” ambayo
iliyoanza leo kwa siku mbili na siku ya tatu kuendelea katika
Hospitali ya Mnazi Mmoja. [Picha na Ikulu] 25/12/2020.
No comments :
Post a Comment