
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipofika
Forodhani Jijini Zanzibar leo kuangalia jengo la Kihistoria la
kibiashara la Beit el Ajab ambalo limeanguka na kupelekea hasara kubwa
pamoja na majeruhi jengo hilo lilokuwa likifanyiwa matengenezo makubwa
kutoka Serikali ya Oman.[Picha na Ikulu] 25/12/2020. 
Baadhi ya Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi waliofika sehemu ya Tukio la kuanguka kwa jengo
la Kihistoria na kibiashara la Beit el Ajab lililoanguka na kupelekea
hasara kubwa pamoja na majeruhi,[Picha na Ikulu] 25/12/2020. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akitoa maelezo kwa Viongozi mbali mbali na Wananchi wakati alipofika Forodhani Jijini Zanzibar leo kuangalia jengo la Kihistoria na kibiashara la Beit el Ajab lililoanguka na kupelekea hasara kubwa pamoja na majeruhi,[Picha na Ikulu] 25/12/2020.

No comments :
Post a Comment